End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

Geeque

JF-Expert Member
Aug 17, 2007
936
316
Kwa wale wanaofuatilia mambo ya utabiri wa Nostradamus na hata wa watu wa Mayan kule South America wanasema Dunia inaweza kufika kikomo mwaka 2012 karibu na tarehe 21 Dec.

Kumekuwa na documentaries nyingi kutoka History channel zikielezea matukio mbalimbali yanayoashiria ujio wa tukio hilo. Je wewe binafsi unaamini huo ndio utakuwa mwisho wa dunia au waliotafsiri maandiko ya Nostradamus na Mayan wameshindwa kung'amua ukweli?

Kumbuka kuna utabiri wa matukio mbalimbali ambao ulifanywa na hawa watu ukiwa na ukweli ndani yake na hayo matukio yalitokea kweli.

UPDATES:

December 03, 2012:

The World Will Not End In 2012 - NASA

Quashing the 'doomsday' rumours, top NASA scientists have assured that the world won't end on December 21, 2012. "The world will not end in 2012. Our planet has been getting along just fine for more than 4 billion years, and credible scientists worldwide know of no threat associated with 2012," NASA said on its website.

The 'doomsday story' started with claims that Nibiru, a supposed planet discovered by the Sumerians, is headed toward Earth, scientists said.

This catastrophe was initially predicted for May 2003, but when nothing happened the doomsday date was moved forward to December 2012 and linked to the end of one of the cycles in the ancient Mayan calendar at the winter solstice in 2012 - hence the predicted doomsday date of December 21, 2012, they said.

The US Space agency also specified that the Mayan calendar does not end in December 2012.

"Just as the calendar you have on your kitchen wall does not cease to exist after December 31, the Mayan calendar does not cease to exist on December 21, 2012," NASA said.

"This date is the end of the Mayan long-count period but then - just as your calendar begins again on January 1 - another long-count period begins for the Mayan calendar," it said.

Scientists also clarified that the rumour of a planet or brown dwarf called Nibiru or Planet X or Eris approaching the Earth and threatening our planet with widespread destruction is just an "Internet hoax".

"Nibiru and other stories about wayward planets are an Internet hoax. There is no factual basis for these claims. If Nibiru or Planet X were real and headed for an encounter with the Earth in 2012, astronomers would have been tracking it for at least the past decade, and it would be visible by now to the Unclad eye," scientists said.

"Obviously, it does not exist. Eris is real, but it is a dwarf planet similar to Pluto that will remain in the outer solar system; the closest it can come to Earth is about 4 billion miles," they said.

On danger of Earth being hit by a meteor in 2012, scientists said that NASA astronomers are carrying out a study called the Spaceguard Survey to find any large near-Earth asteroids long before they hit.

"The last big impact was 65 million years ago, and that led to the extinction of the dinosaurs. We have already determined that there are no threatening asteroids as large as the one that killed the dinosaurs," they said.
 
Last edited:
Hakuna mwisho wa dunia kama ule tunaoufikiria - ila mwisho wetu na mwisho wa kila kiumbe. Kwani dunia ikiisha kutakuwa na nini, uumbaji mwingine au? Ninachoamini ni kwamba wewe na mimi tutakufa lakini watu wengine na viumbe vingine wataendelea/vitaendelea kuzaliwa na hivyo ndivyo itakavyokuwa muda wote.
 
Mazee,

2012 si kesho kutwa tu. Duh yaani itafika hata kabla sijafika ndani ya 18 ya Halle Berry? Maana niko kwenye waiting list yake. Na sasa hivi inavyoonekana niko scheduled kwa 2014. Acha utani bana..lol

Unajua haya mambo ya utabiri wa mwisho ya dunia tushayasikia sana. Binafsi, imefika kipindi naamini kuwa siku nitakayo kufa ndio itakuwa mwisho wangu wa Dunia. Kila mtu taa yake ya Dunia inazima pale akufapo.
 
Ahsante sana kwa thread yako hii.

Nami napenda kwa ufupi kusema kwamba WANAO TABIRI MAMBO YA BAADAYE HAO WOTE SI CHOCHOTE ISIPOKUWA NI SAWA JOSEPH KIBWETERE WA UGANDA NAYE PIA ALITABIRI MWISHO DUNIA NI MWAKA DEC 31,1999.NA AKATAMBA KUSEMA KWAMBA HATUTAFIKA JAN 2000.SASA NI MWAKA JAN 20O9 UKIONGEZA MMOJA TAYARI NI 2010.SASA MWISHO WA DUNIA ALIYO DAI KIBWETERE IKO WAPI?.

KWA HIYO NASEMA WANAOTABIRI MAMBO YA BAADAYE WANALETA UBWETERE SI CHOCHOTE.AMA SIYO?!
 
Mazee,

2012 si kesho kutwa tu. Duh yaani itafika hata kabla sijafika ndani ya 18 ya Halle Berry? Maana niko kwenye waiting list yake. Na sasa hivi inavyoonekana niko scheduled kwa 2014. Acha utani bana..lol

Unajua haya mambo ya utabiri wa mwisho ya dunia tushayasikia sana. Binafsi, imefika kipindi naamini kuwa siku nitakayo kufa ndio itakuwa mwisho wangu wa Dunia. Kila mtu taa yake ya Dunia inazima pale akufapo.

Umesema kweli kabisa ndugu QM,nami naona wanaotabiri mwisho wa Dunia hawana tofauti na wale waganga feki,Au siyo?.

NAMI BINAFSI NAONA WANAOIMBA NYIMBO ZA MWISHO WA DUNIA WAKO SAWA NA NDEGE WANAO IMBA NJE YA DIRISHA YETU WAKATI WA ASUBUHI.
 
Hela Ngumu Bandugu Bapenzi,

Kila mmoja anafikia mwisho wa dunia anapokufa, baada ya hapo asubiri kiyama chake the rest awaachie waliobaki, viumbe hai wanyama kwa mimea wanaoendelea kuishi, binadamu na wadudu wanaobaki. yeye atangulie tu na tumsindikize salama akakutane na hukumu yake kwa kadiri alivyoishi.

lakini ndo hivyo wanajitengenezea hela kwa kuwatia hofu wenzao hasa wale wenye imani haba...... Pole ya kwao.
 
There have been a lot of stories about how the world may end on the 21st of December, 2012. A lot of theories about the Mayan Calendar and other stories have been put forth by various people all over the world. What is your view on this speculation?

Read about this on wikipedia: http://en.wikipedia.org/wiki/2012_phenomenon
 
Is just a story. Mwisho wa dunia unaweza kuwa hata leo.

Taifa kupigana na taifa, tetemeko la ardhi na kuuwa wengi, Njaa kila mahali magonjwa ya kutisha na mengineyo mengi. Nanyi mtakapoyaona haya yote mjue ule mwisho unakaribia.
 
Mwaka 2000 walisema ndo mwisho wa dunia,baada ya kusherekea mwaka mpya mpaka leo dunia haijafikia mwisho.Mtu ukifa ndo mwisho wa dunia kwako..
 
An old woman of 90 from Valdres in Norway had a vision from God in 1968. The evangelist Emanuel Minos had meetings (services) where she lived. He had the opportunity to meet her, and she told him what she had seen. He wrote it down, but thought it to be so unintelligible that he put it in a drawer. Now, almost 30 years later, he understands he has to share the vision with others.

The woman from Valdres was a very alert, reliable, awake and credible Christian, with a good reputation among all who knew her. This is what she saw:

"I saw the time just before the coming of Jesus and the outbreak of the Third World War. I saw the events with my natural eyes. I saw the world like a kind of a globe and saw Europe, land by land. I saw Scandinavia. I saw Norway. I saw certain things that would take place just before the return of Jesus, and just before the last calamity happens, a calamity the likes of which we have never before experienced.
She mentioned four waves:

1. "First before Jesus comes and before the Third World War breaks out there will be a ‘détente' like we have never had before. There will be peace between the super powers in the east and the west, and there will be a long peace. (Remember, that this was in 1968 when the cold war was at its highest. E. Minos) In this period of peace there will be disarmament in many countries, also in Norway and we are not prepared when it (the war) comes. The Third World War will begin in a way no one would have anticipated - and from an unexpected place.

2. "A lukewarmness without parallel will take hold of the Christians, a falling away from true, living Christianity. Christians will not be open for penetrating preaching. They will not, like in earlier times, want to hear of sin and grace, law and gospel, repentance and restoration. There will come a substitute instead: prosperity (happiness) Christianity.

"The important thing will be to have success, to be something; to have material things, things that God never promised us in this way. Churches and prayer houses will be emptier and emptier. Instead of the preaching we have been used to for generations -like, to take your cross up and follow Jesus, - entertainment, art and culture will invade the churches where there should have been gatherings for repentance and revival. This will increase markedly just before the return of Jesus.

3. "There will be a moral disintegration that old Norway has never experienced the likes of. People will live together like married without being married. (I do not believe the concept ‘co-habitor'? existed in 1968 - E. Minos.) Much uncleanness before marriage, and much infidelity in marriage will become the natural (the common), and it will be justified from every angle. It will even enter Christian circles and we pet it - even sin against nature. Just before Jesus return there will be TV- programs like we have never experienced. (TV had just arrived in Norway in 1968. E. Minos)

"TV will be filled with such horrible violence that it teaches people to murder and destroy each other, and it will be unsafe in our streets. People will copy what they see. There will not be only one ‘station' on TV, it will be filled with ‘stations.' (She did not know the word ‘channel' which we use today. Therefore she called them stations. E. Minos.) TV will be just like the radio where we have many ‘stations,' and it will be filled with violence. People will use it for entertainment. We will see terrible scenes of murder and destruction one of the other, and this will spread in society. Sex scenes will also be shown on the screen, the most intimate things that takes place in a marriage." (I protested and said, we have a paragraph that forbids this kind of thing. E. Minos.) There the old woman said: "It will happen, and you will see it. All we have had before will be broken down, and the most indecent things will pass before our eyes."

4. "People from poor countries will stream to Europe. (In 1968 there was no such thing as immigration. E. Minos.) They will also come to Scandinavia - and Norway. There will be so many of them that people will begin to dislike them and become hard with them. They will be treated like the Jews before the Second World War. Then the full measure of our sins will have been reached (I protested at the issue of immigration. I did not understand it at the time. E. Minos.)

The tears streamed from the old woman's eyes down her cheeks. "I will not see it, but you will. Then suddenly, Jesus will come and the Third World War breaks out. It will be a short war." (She saw it in the vision.)

"All that I have seen of war before is only child's play compared to this one, and it will be ended with a nuclear atom bomb. The air will be so polluted that one cannot draw one's breath. It will cover several continents, America, Japan, Australia and the wealthy nations. The water will be ruined (contaminated?). We can no longer till the soil. The result will be that only a remnant will remain. The remnant in the wealthy countries will try to flee to the poor countries, but they will be as hard on us as we were on them.

"I am so glad that I will not see it, but when the time draws near, you must take courage and tell this. I have received it from God, and nothing of it goes against what the Bible tells.

"The one who has his sin forgiven and has Jesus as Savior and Lord, is safe."
 
si kweli kwani the last war bado haijapiganwa kati ya israel na muungano wa waarabu na waislam wakiongozwa na iran huku wakisaidiwa na urusi na china, na marekani bado haijadondoka kama super power, urusi na china bado hazijaipiku marekani kama superpowers na refinery plant za saudia bado hazijalipuliwa na terrorist, guys they are all over the bible ( books of ezekiel and daniel).
 
Yesu alisema kuhusu huo mwisho utakuwa lini hakuna ajuae, wala malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake. kwa hiyo basi kesheni kwa maana hamjui siku wala saa ajapo mwana wa adamu. Kwa maana siku hiyo itawajia gafla kama mwizi ajavyo.
 
mimi sina wasi wasi kabisa kama mwisho wa dunia ndio mwisho wa dunia hakuna jinsi hata hiwe kesho au kesho kutwa.naendelea na maisha yangu kama kawaida kwa kufanya mema na kuepukana na maovu.

wao waliosema hio siku ndio mwisho wa dunia wana mpango gani mwingine zaidi ya kusubiri hio siku hifike? wana option yoyote kuepukana na hio siku?
 
Invisible, it's interesting that you started this thread at this time.

I am quite interested in this 2012 thing, the movie came out but I decided not to go watch it as I search for non-Hollywood info on the topic.

Kwa wale mnaosema Kibwetere etc, it has nothing to do with religion, really, it's all about the Mayan philosophy and the Mayan calender. The underlying principle here is that the Earth goes through various cycles, every so often, according to the Maya. It also happens that the ancient Mayan calender does not go beyond the said date in 2012.

What it means basically is that the Earth is coming to the end of one of it's major cycles.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom