Kiumbemzito
Member
- Nov 25, 2008
- 31
- 1
Watu wamekesha toka enzi za yesu mpaka leo!
Lets be fair jamani.Kosa la Invisible ni nini? Ameleta mada jamvini kama mada zote zinavyokuja.Unaargue na reasons either unakubali au unakataa.Isitoshe na Yeye inv katoa hoja hii kwenye source nyingine.Sikutegemea thread kama hii kutoka kwa mtu wa caliber ya Invisible.
Mkuu itakubidi pia uwalaumu sana Wikipedia kwa kuruhusu page ya namna hii kuwepo kwenye wavuti yao...Sikutegemea thread kama hii kutoka kwa mtu wa caliber ya Invisible.
Mbona haitishi sana FL1....
Ila ina special effects kali sana, very
Mwalimu mbona mie nilikosa usingizi