Enakuaje?

Kawaambie hao hao wa chuoni kwako ulipo usituunganishe na sisi umesikia eehhh



Peleka mambo ya chuo hukohuko eti hawajiheshimu na kujithamini naona uko kishule zaidi kaongee nao hukooooooooooooo

dena,ur not a critical thinker at all. Its not abt students only n i didn say ALL WOMEN. wen i was doin my fieldwork at a particular bank here in Dar,i came across the same issue. The branch manager was a young man in his 30's,handsme and had a luxurious life. Wish u cud see how fellow female workers walvokua wanajishebedua ili wamdate boss. 1 hu became my buddy told me,"kila m2 anataka kua na mwanaume mwenye pesa ndo maana unaona 2navyompapatikia boss". So u cn see,its kinda virus implanted in some womens brain kwamba all wat matterz in life is a man wit cash
 
But yet you said ''unaweza kumpata mwanamke yeyote'' ????
Haya tena....kwahiyo mtu akichukuliwa na gari basi ishakua tabu!!Unajuaje kwamba hakuanza mahusiano na huyo mtu kabla hajapata gari?


Lizzy acha ukali dia, wengine wapo hivo ingawa najua wewe hukunipendea gari. Lov u
 
dena,ur not a critical thinker at all. Its not abt students only n i didn say ALL WOMEN. wen i was doin my fieldwork at a particular bank here in Dar,i came across the same issue. The branch manager was a young man in his 30's,handsme and had a luxurious life. Wish u cud see how fellow female workers walvokua wanajishebedua ili wamdate boss. 1 hu became my buddy told me,"kila m2 anataka kua na mwanaume mwenye pesa ndo maana unaona 2navyompapatikia boss". So u cn see,its kinda virus implanted in some womens brain kwamba all wat matterz in life is a man wit cash


Branch Manager - ana pesa kweli????? labda kama anachakachukua benki - huyo si mfanya kazi wa kawaida sana???? labda ungesema pesa za mafisadi walizoiba. Wenye pesa wanaochimba migodi inayotema dhahabu, almasi etc. ndio at least unaweza sema wana pesa - hao staff labda walikuwa wanataka kumdate boss -wapate promotion labda lakini sio issue ya pesa - na labda wengine walikuwa wanataka mapenzi ya dhati na wengine kufurahisha mwili tu (sex) - so sijui mentality yako ya mtu mwenye pesa ni ipi??? seems you have poor assumptions??????

mwanamke wa benki - jamani si wanachukua mikopo na wengi wana-drive??? hao labda ni 'newly employed'?? Otherwise una mtazamo wa kizamani kweli ..............hata university students (ladies) wengine wako chuoni na magari - umesahau watoto wa mafisad nao wapo chuonii nini??? au hapo unawa-target watoto wa mkulima???? hata hivyo most ladies hata wakiwa wahitaji vipi wengi wanajiheshimu - gari, pesa - very material things -

mwanaume mtanashati - mwenye gari na pesa - kama tabia ni mbaya hawezi kukubaliwa na decent women ..wanawake walio serious na mapenzi siku hizi wanaangalia TABIA, MWENENDO NA HANDLING YA MTU - VIRUKA NJIA NDIO WANAANGALIA PESA NA HAWATUMII AKILI KWANI SI KILA MWENYE GARI ANA PESA - MAGARI MENGI NI YA MIKOPO ZAIDI ... ndio hoja yangu hiyo.:smile-big::smile-big:
 
Branch Manager - ana pesa kweli????? labda kama anachakachukua benki - huyo si mfanya kazi wa kawaida sana???? labda ungesema pesa za mafisadi walizoiba. Wenye pesa wanaochimba migodi inayotema dhahabu, almasi etc. ndio at least unaweza sema wana pesa - hao staff walikuwa wanataka kumdate boss -wapate promotion labda lakini sio issue ya pesa - na labda wengine walikuwa wanataka mapenzi ya dhati na wengine kufurahisha mwili tu (sex) - so sijui mentality yako ya mtu mwenye ni ipi??? seems wewe gari zuri hulijui...........

mwanamke wa benki - jamani si wanachukua mikopo na wengi wana-drive??? hao labda ni 'newly employed'?? Otherwise una mtazamo wa kizamani kweli ..............hata university students (ladies) wengine wako chuoni na magari - umesahau watoto wa mafisadi nini??? au hapo unawa-target watoto wa mkulima???? hata hivyo most ladies hata wakiwa wahitaji vipi wanajiheshimu - gari, pesa - very material things -

mwanaume mtanashati - mwenye gari na pesa - kama tabia ni mbaya hawezi kukubaliwa na decent woman ...watu siku hizi wanaangalia TABIA, MWENENDO NA HANDLING YA MTU - ndio hoja yangu hiyo.:smile-big::smile-big:

Nice comment,cudn agree more!
 
We vipi mbona hivi vitu ulivyovitaja ni vidogo sana! hizi ni zama nyingine mwanamke anauwezo wa kumiliki vyote kwa kujituma kwake tu sema wewe ndo unayeona vya ajabu.
 
We vipi mbona vitu vyote ulivyovitaja ni vya kawaida sana na wanawake wengi siku hizi wauwezo wa kuvimiliki kwa kujituma kwao tu sema wewe mwenyewe ndio bado mgeni navyo,pole sana.
 
Jamani ivi inakuaje,unakuta mwanaume mtanashati una mvuto,nadhifu,maridadi etc. But kila unapojaribu kumuaproach mdada fulani unajikuta una kula kibuti? Halafu,hivi kwanini siku hizi mapenz yamehamia mifukoni nikimaanisha pesa? Yan cku hz bwana wewe kama una gari yako nzur na vijisent kadhaa walah tena utakua na mwanamke yoyote utakaemtaka. Sasa inakuaje kuhusu msemo wa money cnt buy love?

Hapo unamaanisha 'LOVE BUSINESS', not LOVE AFFAIR
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom