ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,275
- 5,961
SIERA hao sio EMS ni jamaa wa TRA kitengo cha CUSTOMS, wanakusanya ushuru wa serikali.EMS juzi hapa walinivuruga khaaa nilitumiwa pump ya kukamulia maziwa ya kunyonyesha ilivyoletwa mezani wakaniuliza unajua imenunuliwa kiasi gani nikawaambia nafikiri dolla 100 ..akanijibu mbona hapa imeandikwa usd400 nikamwambia sawa tunafanyaje..ooh unatakiwa ulipe ushuru nikamjibu sawa akaanza kunipigia mahesabu khaa ananiambia kalipe pale laki350000 nilichoka yani ushuru 50%!!hamu ya pump yote iliniisha mmh
juzi nimetumiwa divine sensual nimechajiwa shs 20,000/ wakati thamani ya mzigo ni usd 7. jamaa wa customs noma sana.