Kiresua
JF-Expert Member
- May 13, 2009
- 1,184
- 259
Wapendwa wana Jf, ni juzi tu niliistal W7 kwenye mashine yangu, baada ya hapo nikalog Yahoo, uups! Invalid pasword, nikajaribu ya my waifu wangu, invalid pasword. Kiukweli nimepaniki sana kwani ina mambo yangu mengi mno. Na mbaya zaidi alternative email niliyosajili nilishaisahau kwani nilifungua miaka 11 iliyopita. Jamani kwani kuna njia ya msaada jamani? Asanteni sana!