Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 71,018
- 94,060
Kweli kuna watu wana skesha humu khaaa...
hahaha na wewe je?
Kweli kuna watu wana skesha humu khaaa...
I got v12 sweeter than female feeling like intercourse buckling the seatbelt-rozay unhuh
jjapo umenikataa lakini naomba unipe nafasi hata ya kutoka nawewe w.kend hii walau moyo wangu upoe kidogo
Angalia usije ukawa umepatwa ugonjwa wa wakati ndio sasa!
Elizabeth naomba umponye huyu kijana!
Una ushahidi tuiundie tume?Nipo kaka, mishe kama kawa kama dawa. Wknd njema kwako:msela:
Upendo ndugu nampenda sana sitamani kumkosa kabisa
Angalia usije ukawa umepatwa ugonjwa wa wakati ndio sasa!
Elizabeth naomba umponye huyu kijana!
Komaa....,komaaaa mkuu, utafanikiwa.
sawa yote mie nakubali lakini mpaka nipate nikitakacho.nampenda wala nyuma sitorudimy lawyer huyu ni pacha wake wns, me hata simshangai!!!!
hakika mkiva atakuwa pacha wake wakati ndio sasa. . .
shostito Elizabeth Dominic mwaka wetu huu!!!!!