elizabeth dominic njoo tutoke wkend.japo umenitosa

hapana cyo mambo yetu si wajua ndo naanza maisha so nina chumba2 na mkeka,nikichoka kuukalia naulalia.

Unaulalia ukiwa nje au unalala nao ukiwa ndani huo mkeka?
Ila shoga utakuwa jasiri.
Me nikiulalia mchana peke yake naumia mbavu na kiuno mpaka niweke mto,
Sembuse wewe Unaulalia usiku kucha tena ukiwa ndani.
A wonderful..!!
 
Hivi mpaka karne hii bado watu hulalia jamvi?
Khaa
 
hapana cyo mambo yetu si wajua ndo naanza maisha so nina chumba2 na mkeka,nikichoka kuukalia naulalia.

sikupatii picha jinsi sura na maeneo mengine ukiamka yanavyokua na prints za mkeka...
 
Haya mamii naona umeniamulia lakin nifanyeje ndo uwezo wangu,labda unipe mbinu za kupata tanifomu.
 
hapo A town kuna zile Tanform ulimi, tafuta hizo bhanaa kabla hujaua "shoko mzoba" ya kiuno
 
Back
Top Bottom