Elimu ya nyota - msaada

Enny

JF-Expert Member
May 26, 2009
962
130
Ni muda mrefu nimekuwa nasikia habari juu ya elimu ya nyota kuwa kila binadamu ana nyota yake na nyota ya mtu inaweza kung'arishwa zaidi na mambo yakawa yanamwendea vizuri. Hivi kuna ukweli wowote, kama kuna mtu mwenye uhakika na hilo naomba kuelimishwa zaidi.
 
Back
Top Bottom