Elimu ya IGP Said Mwema..!

Me mwenywe nmemshangaa.. afu kuna post moja alisema anasoma masters sweden. hahaa Zero brain uyo.

huyu kilaza unaamini upuuzi anaoongea?! Kaz ku2mia masaburi 2 kufikiria, hili jukwaa linahitaji mod yule wa kwenye siasa asee
 
huyu kilaza unaamini upuuzi anaoongea?! Kaz ku2mia masaburi 2 kufikiria, hili jukwaa linahitaji mod yule wa kwenye siasa asee

Ntaamini vipi upuuz naopost post huyo jamaa? Ni mpuuzi fulani ivi hajielewi, hopeles..!
 
Naomba nifahamishwe ni nini tofauti ya Undergraduate,Graduate and Postgraduate,nimewahi msikia Kikwete akisema Taasisi ya Nelson Mandela Arusha ni Graduate School akimaanisha kinachotolewa hapo ni Stashahada za uzamili,shahada za uzamili na shahada za uzamivu.
 
movz na series znaharibu watu

And y z dat, kiongoz usione 2 hizi ID's, much lies behind em!! Usione umeongea lets say na DrSlaa or Other powerful person right here ukaona well you are in the same class. U hav no idea wat, where i hav and have been or any1 in here 4 that matter!! So just enjoy t maana in real life duh can't even begin 2 hand t 2 ya how different people in here are. Well i've said much, dat'll b all. Cheers
 
Naomba nifahamishwe ni nini tofauti ya Undergraduate,Graduate and Postgraduate,nimewahi msikia Kikwete akisema Taasisi ya Nelson Mandela Arusha ni Graduate School akimaanisha kinachotolewa hapo ni Stashahada za uzamili,shahada za uzamili na shahada za uzamivu.

hufahamu tofauti?
Iweje sasa mna discuss elimu za watu ilhali nyie wenyewe zenu ati ati?
IGP Mwema ni LLB GRADUATE KWELI.
 
Back
Top Bottom