Elimu: Uwepo mpango maalumu wa kuzi upgrade shule za kata.

gambagumu

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,819
2,429
ili kuboresha kiwango cha elimuhapa nchini nashauri serikali kuanza mpango maalumu wa kufanya baathi ya shule za kata kua za kiwilaya, kimkoa na kitaifa kila mwaka.Mpango huu utakua na faida mbalimbali ikiwepo kuboresha elimu na kuimarisha umoja wa kitaifa.
 
Back
Top Bottom