Elimu kawambwa

kaleju

Member
Jan 27, 2011
48
2
Heti waziri wa elimu anashnikiza wanafunzi wa elimu ya juu waandamane kushinikiza wahtim warudishe hela ya mkopo.
Kwanini hawakuwashawish wanafunz na wananch wa kawaida waandamane kushnikiza mafisad wa EPA warudishe fedha za serikar z2mike kwa maendeleo ya nch na watu wake?
 
Back
Top Bottom