JOH MCHESHI
Member
- Aug 23, 2012
- 18
- 3
Duh mkopo unaombwaje cz mi sikuomba c kwt tupo vizuri over!
Mshukuru mungu
Duh mkopo unaombwaje cz mi sikuomba c kwt tupo vizuri over!
Asante kwa maelezo mazuuriNajua vijana wangu macho yote yako kwa HESLB mkisubiri % za mikopo, nataka kuwajuza kua kilicho kua kikisubiliwa ni zoezi la wale walio kosea kujaza form za mikopo ambapo zoezi hilo limeisha rasmi 29/08/2012, so tegemee ni mambo kua wazi siku na saa yeyote kuanzia 1st September.
Pia naomba kuwatoa hofu kuhuzi ile mambo ya "PRIORITY" na "NON PRIORITY" mwaka wa fedha 2012/2013 bodi ya mikopo imepewa fedha za kutosha so naomba muondoe shaka kuhusu mikopo, pia % za mikopo zisiwachanganye vichwa vyenu saana, viwango viko kama ifuatavyo
A=100%
B=90%
C=80%
D=70%
E=60%
F=50%
G=40%
H=30%
I=20%
J=10%
K=0%
Hizi grades za mikopo zisiwape hofu kabisa kwani tofauti yake ipo katika TUITION FEE pekeyake kingine kote ziko sawa ikimaanisha kwanba aliye pata 100% hato lipa ada kabisaa ila aliye pata 10% atalipa 90% ya ada na aliye pata 0% yeye atalipa ada yoote 100% ila feda zingine atapata kama atakavyopata mwenye 100%
Pia ikumbukwe kua kunauwezekani wa kukosa hata hiyo 0% yaani ukapata NIL hapa utajilipia kilakitu hutopata hata sh. 10 toka HESLB.
Mkopo toka HESLB uta cover vitu vifuatavyo
1.TUITION FEE
2.MILLS & ACCOMMODATION CHARGES
3.SPECIAL FACULTY REQUIREMENTS
4.RESEARCH EXPENSES
5.FIELD PRACTICAL TRAINING EXPENSES
6.BOOKS & STATIONARY EXPENSES
Ikumbukwe kua fedha hutumwa chuoni na wanafunzi husaini form za majina kudhibitisha uwepo wao vyuoni ndo fedha huingizwa katika account ya mwanafunzi husika. Ni hayo tu nduguzanguni
NB:- FEDHA HUCHELEWA KUFIKA VYUONI SO MUONDOKE NA FEDHA YA KUTOSHA KABLA BOOM HALIJATOKA.
Ikumbukwe kuwa MIKOPO ipo kwaajili ya watanzania wasio jiweza sio kwa walio soma science na wenye Div 1 au 2
Najua vijana wangu macho yote yako kwa HESLB mkisubiri % za mikopo, nataka ...
1.TUITION FEE
2.MILLS & ACCOMMODATION CHARGES
3.SPECIAL FACULTY REQUIREMENTS
4.RESEARCH EXPENSES
5.FIELD PRACTICAL TRAINING EXPENSES
6.BOOKS & STATIONARY EXPENSES
...
yah atleast umekuja na content ya maana...thanks alot!!!
Haya unayaandika kwa authority ipi?Najua vijana wangu macho yote yako kwa HESLB mkisubiri % za mikopo, nataka kuwajuza kua kilicho kua kikisubiliwa ni zoezi la wale walio kosea kujaza form za mikopo ambapo zoezi hilo limeisha rasmi 29/08/2012, so tegemee ni mambo kua wazi siku na saa yeyote kuanzia 1st September.
Pia naomba kuwatoa hofu kuhuzi ile mambo ya "PRIORITY" na "NON PRIORITY" mwaka wa fedha 2012/2013 bodi ya mikopo imepewa fedha za kutosha so naomba muondoe shaka kuhusu mikopo, pia % za mikopo zisiwachanganye vichwa vyenu saana, viwango viko kama ifuatavyo
A=100%
B=90%
C=80%
D=70%
E=60%
F=50%
G=40%
H=30%
I=20%
J=10%
K=0%
Hizi grades za mikopo zisiwape hofu kabisa kwani tofauti yake ipo katika TUITION FEE pekeyake kingine kote ziko sawa ikimaanisha kwanba aliye pata 100% hato lipa ada kabisaa ila aliye pata 10% atalipa 90% ya ada na aliye pata 0% yeye atalipa ada yoote 100% ila feda zingine atapata kama atakavyopata mwenye 100%
Pia ikumbukwe kua kunauwezekani wa kukosa hata hiyo 0% yaani ukapata NIL hapa utajilipia kilakitu hutopata hata sh. 10 toka HESLB.
Mkopo toka HESLB uta cover vitu vifuatavyo
1.TUITION FEE
2.MEALS & ACCOMMODATION CHARGES
3.SPECIAL FACULTY REQUIREMENTS
4.RESEARCH EXPENSES
5.FIELD PRACTICAL TRAINING EXPENSES
6.BOOKS & STATIONARY EXPENSES
Ikumbukwe kua fedha hutumwa chuoni na wanafunzi husaini form za majina kudhibitisha uwepo wao vyuoni ndo fedha huingizwa katika account ya mwanafunzi husika. Ni hayo tu nduguzanguni
NB:- FEDHA HUCHELEWA KUFIKA VYUONI SO MUONDOKE NA FEDHA YA KUTOSHA KABLA BOOM HALIJATOKA.
du hizi mambo zitanihusu mwakani ngoja nshuhudie this time
Sorry My mistake, this gadget it tends to auto complete wolds
Make deliberate efforts to learn English. You have made the same spelling mistake! "Wolds" did you mean "words"?
"this gadget it tends, nadhani inabidi iwe "this gadget tends"( Huwezi changanya noun na pronoun tulifundishwa hivyo!)
Usichukie hili ni jukwaa la kuelimishana.