Elections 2010 Election 2010: Tutaishangaza Dunia kwamba Tanzania imekomaa kwa demokrasia

vyombo vya kimataifa haviwezi kuongelea uchaguzi wa nchi inayoongozwa na kilaza jk. wanaongelea Ivory Coast na Brazil tu. Hata kwenye ramani ya dunia hatupo. Ndiyo maana nasema ccm ikae pembeni ili tuirejeshe nchi yetu kwenye ramani ya dunia.

Mmmmmhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!! labda hivyo ni vyombo vya kimataifa ambavyo wengine hatuvijui. Ukiona Tanzania hatuongelewi jua hatuchinjani vinginevyo ungewaona tu.
 
Uwongo mbaya, tungekuwa strict kama brazili basi jamii ya kimataifa na vyombo vyote vya kimataifa vingekuwa vinarusha kinachojiri tz kwa sasa, karibu slaa, ijulishe dunia kuwa tz sio pango la wezi.
 
Please people who said dunia haijuwi kuna Uchaguzi TZ and if so why the EU Commission has representations+ observer to report back Uchaguzi ulikuwa fair.
 
Kuwa na amani kaka, subiri it is less than 3 days... jasho litakutoka.

Chaguzi zilishafanyika kabla, hivyo kitachoshangaza Dunia ni CCM kurudi madarakani tena na tena.

Tanzania itashangaza sana Dunia pale itapoipa CCM madaraka kwa kudhani kua kwa miujiza fulani hivi CCM itashinda UFISADI na kufanikiwa kuiletea Tanzania maendeleo. Pia kama hamna vurugu za uchaguzi wakati TANZANIA imechoooka, Dunia itaendelea kushangazwa kua Tanzania ina watu wa aina gani hasa, tunashindwa kuleta mabadiriko ya maisha yetu na tunaridhika tu na umaskini tulionao.

Nilijua tu. Mtakata tamaa sana. CHADEMA HAITAIONGOZA TANZANIA MILELE.
 
Wazi nikuwa ushindi tayari ni wa CCM,HABARI ZILIZOINGIA NIKUWA MR SLAA N LIPUMBA WOTE WAMEMPIGIA KIKWETE,ETI WANADAI WAMEBADILI MAWAZO BAADA YA MKUTANO WA JANA JANGWANI,NI WAZI KUWA LIPUMBA ANATAKA UBUNGE WAKUTEULIWA ILA MPAKA SASA SLAA HAJATOA MAONI KAMILI,KWELI WAPINZA WANAKIMBILIA IKULU AJILI YAKUKUZA VITAMBI NAKUJITAJIRISHA,AHADI ILIYOPO CCM ITATAWALA MAISHA
 
Chaguzi zilishafanyika kabla, hivyo kitachoshangaza Dunia ni CCM kurudi madarakani tena na tena.

Tanzania itashangaza sana Dunia pale itapoipa CCM madaraka kwa kudhani kua kwa miujiza fulani hivi CCM itashinda UFISADI na kufanikiwa kuiletea Tanzania maendeleo. Pia kama hamna vurugu za uchaguzi wakati TANZANIA imechoooka, Dunia itaendelea kushangazwa kua Tanzania ina watu wa aina gani hasa, tunashindwa kuleta mabadiriko ya maisha yetu na tunaridhika tu na umaskini tulionao.

Nilijua tu. Mtakata tamaa sana. CHADEMA HAITAIONGOZA TANZANIA MILELE.

Mie sishangai kumwona mtu asiyejua maana ya demokrasia anasema chama fulani hakitaongoza milele. Sishangai pia mtu anayenufaika na uongozi mbovu akikaa na kutetea uadilifu. Na kamwe sitashangaa kusikia CCM mwaka huu imeshindwa vibaya katika uchaguzi. CCM inajivunia katiba mbovu tu hamna kikingine.
 
Amani na utulivu gani wakati huko Mwananyamala zinapigwa?

Wewe utakuwa una matatizo!!! Ni uchaguzi gani uliwahi kuwa 100% accuracy, free and fair... wakati hata wa Marekani wa Kumuweka Bush ulikuwa na issue?

Waangalizi wanaangalia kama tukio hilo linaweza kubadilisha matokeo yoyote... ukweli ni kwamba hapana.
 
Back
Top Bottom