Elections 2010 Election 2010: Tutaishangaza Dunia kwamba Tanzania imekomaa kwa demokrasia

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Wanabodi,

Nategemea Tanzania itaishangaza dunia kwa kuwa na uchaguzi ulio huru na wa amani!
 
Na ni vema mtoke madarakani kwa amani mtakaposhindwa. CCM ndio chama pekee kinachoweza kupindisha demokrasia na kusababisha uvunjifu wa amani.
 
Hapan shaka. Haswa kule Unguja na Pemba. Ila kwa yale majimbo matatu ya bara ambayo uchaguzi hautafanyika leo; sijui hapo amani ipo wapi?
 
Maana hawakubali kuheshimu maamuzi ya wananchi. Ni vyema wakubali kushindwa ili nchi iwe na amani na tumwachie Dr wa ukweli afanye mabadiliko yaliyoshindika miaka 50 iliyopita
 
Hayo majimbo matatu yamewekwa maalum kwa ajili ya uchakachuaji. kaeni chonjo maana hizo zitatumika kumjazia Dk nanihii ambaye hawezi kujieleza.
 
Wanabodi,

Nategemea Tanzania itaishangaza dunia kwa kuwa na uchaguzi ulio huru na wa amani!

Dunia ishangazwe ili iwe nini. Hii kasumba ndio inarudisha nyuma maendeleo ya Tanzania na kufikiri ati dunia watasema nini, kama hiyo dunia ingekuwa inajali si wangefuatilia yanayotokea Tanzania mbona wanaongelea uchaguzi wa Brazil pekee kama vile sisi hatuna uchaguzi? Au ni kwa sababu ya Kilaza JK? Kwa vile wamemuweka mfukoni. Tujali ya kwetu kwanza ... charity begins ..... .....
 
Hii inaitwa General Election, makosa ya majimbo 3... sio tatizo la Taifa Zima, subiri ripoti zao.
 
Dunia ishangazwe ili iwe nini. Hii kasumba ndio inarudisha nyuma maendeleo ya Tanzania na kufikiri ati dunia watasema nini, kama hiyo dunia ingekuwa inajali si wangefuatilia yanayotokea Tanzania mbona wanaongelea uchaguzi wa Brazil pekee kama vile sisi hatuna uchaguzi? Au ni kwa sababu ya Kilaza JK? Kwa vile wamemuweka mfukoni. Tujali ya kwetu kwanza ... charity begins ..... .....

Kama hawana habari na sisi kwa nini wametuma waangalizi? It is a fact kwamba hizo nchi hazina uwekezaj (maslahi makubwa) kwenye nchi yetu ukilinganisha na Brazil etc.
 
Utajuaje kama makosa yatakuwa ni majimbo matatu tu na wakati bado kuna masaa mengi tu ya kupiga kura?

Subiri mnatamani kutokee matatizo lakini hayatokea sana... hivyo jiandaeni kupokea matokeo.
 
vyombo vya kimataifa haviwezi kuongelea uchaguzi wa nchi inayoongozwa na kilaza jk. wanaongelea Ivory Coast na Brazil tu. Hata kwenye ramani ya dunia hatupo. Ndiyo maana nasema ccm ikae pembeni ili tuirejeshe nchi yetu kwenye ramani ya dunia.
 
Nasikiliza Reggae ya Morgan Heritage kwenye You Tube inaitwa Black Man Paradise, nadhani baada ya Dr wa Ukweli kuingia madarakani Bongo itakuwa Back Man Paradise!!!!!!!!!!!
 
Gosbertgoodluck unaongea na walewale! Nachokiona kwa huyu the so called Kasheshe ni blindiness na ufinyu wa kujua mambo, so please don't waste ur time on this. we All know, mapungufu mwengi sana ya huyu mbumbumbu...mfano mdogo tu ni ile ya Lisa M Rockefeller. Sasa kama inafikia mtu wa nje anaweza kuyaona haya, inakuwa mzawa...otherwise uwe tayari umekufa fikra zako..that is it!
 
Subiri mnatamani kutokee matatizo lakini hayatokea sana... hivyo jiandaeni kupokea matokeo.

:nono::nono::nono:Nani kakwambia tunataka yatokee matatizo? Wewe uliyehitimisha kwamba matatizo ni majimbo matatu tu wakati bado kuna masaa chungu nzima ya upigaji kura. Tunakurekebisha sasa unageuza kauli eti tunataka yatokee matatizo! Uwe unasoma mabandiko vizuri na kuyaelewa kabla ya kujibu. :peace::peace::peace:
 
kweli yaani inaonekana dunia kama haijui kabisa kama kuna uchaguzi wa haka ka-nchi..mmh
au kwa kuwa ni nchi ya ombaomba ,hivyo wanaona hawana influence yeyote?
vyombo vya kimataifa haviwezi kuongelea uchaguzi wa nchi inayoongozwa na kilaza jk. wanaongelea Ivory Coast na Brazil tu. Hata kwenye ramani ya dunia hatupo. Ndiyo maana nasema ccm ikae pembeni ili tuirejeshe nchi yetu kwenye ramani ya dunia.
 
vyombo vya kimataifa haviwezi kuongelea uchaguzi wa nchi inayoongozwa na kilaza jk. wanaongelea Ivory Coast na Brazil tu. Hata kwenye ramani ya dunia hatupo. Ndiyo maana nasema ccm ikae pembeni ili tuirejeshe nchi yetu kwenye ramani ya dunia.

Inaelekea una-grievance za kutoka kazini kwako... siku zote BBC, au CNN wanaangalia wapi wana maslahi yao mkuu... au wapi kuna matatizo yanayojulikana ya Afrika.
 
Wanabodi,

Nategemea Tanzania itaishangaza dunia kwa kuwa na uchaguzi ulio huru na wa amani!

Chaguzi zilishafanyika kabla, hivyo kitachoshangaza Dunia ni CCM kurudi madarakani tena na tena.

Tanzania itashangaza sana Dunia pale itapoipa CCM madaraka kwa kudhani kua kwa miujiza fulani hivi CCM itashinda UFISADI na kufanikiwa kuiletea Tanzania maendeleo. Pia kama hamna vurugu za uchaguzi wakati TANZANIA imechoooka, Dunia itaendelea kushangazwa kua Tanzania ina watu wa aina gani hasa, tunashindwa kuleta mabadiriko ya maisha yetu na tunaridhika tu na umaskini tulionao.
 
Gosbertgoodluck unaongea na walewale! Nachokiona kwa huyu the so called Kasheshe ni blindiness na ufinyu wa kujua mambo, so please don't waste ur time on this. we All know, mapungufu mwengi sana ya huyu mbumbumbu...mfano mdogo tu ni ile ya Lisa M Rockefeller. Sasa kama inafikia mtu wa nje anaweza kuyaona haya, inakuwa mzawa...otherwise uwe tayari umekufa fikra zako..that is it!

Kuwa na amani kaka, subiri it is less than 3 days... jasho litakutoka.
 
Wanabodi,

Nategemea Tanzania itaishangaza dunia kwa kuwa na uchaguzi ulio huru na wa amani!

Si mara ya kwanza kwa uchanguzi kufanyika TAnzania. ni mara ya tano sasa. Kama uchaguzi ukiwa wa mauaji si mara ya kwanza, kama ukiwa wa amani si mara ya kwanza pia. Hkuna cha kushangaza mkuu. Na Dunia kutusifu haitakuwa mara ya kwanza, lakini tunapokea sifa huku tunateketea kwa ufisadi na umaskini.
 
Back
Top Bottom