El achangia ujenzi wa shule ya kiislam

Simba Mkali

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
620
239
EL.jpg Waziri Mkuu Mstaafu EL akiwasili Mwanga Kilimanjaro kwa ajili ya kuendesha harambee ya kukusanya michango kwa ajili ya shule ya Kiislam, EL alitoa milioni 10 kama mchango wake, Waziri Maghembe anaonekana nyuma yake (Picha na habari kwa hisani ya Michuzi blog).
 
Ponda siajaenda shule hata darasa moja mufti afanye mpango ampeleke hiyo shule
 
Ponda na makeke yake ya kipuuzi yoooote hajawahi kumgusa huyu jamaa

ajaribu tusikie kitu
 
Napendekeza wakristo wawagawie baadhi ya mashule kwa masharti ya kutochoma makanisa!
 
Back
Top Bottom