Eid Mubarak 2008

Status
Not open for further replies.
Napenda kuchukua nafasi hii kuwaombea Watanzania wote popote pale duniani Idd el Haj njema na ya amani. Na wale ambao wamejaliwa kwenda kuhiji Mecca safari yao ya kurudi nyumbani iwe salama.

Idd Mubarak.
 
Eid Mubarak!

عـــيــد مــبـــارك

Invisible
 
Napenda kuchukua nafasi hii kuwaombea Watanzania wote popote pale duniani Idd el Haj njema na ya amani. Na wale ambao wamejaliwa kwenda kuhiji Mecca safari yao ya kurudi nyumbani iwe salama.

Idd Mubarak.

card-2.jpg

...Ameen, ameen BAK, Eid njema kwenu nyote!!!
 
Ndugu zangu Watanzania Leo ni siku kubwa na tukufu kwa Waislamu wote duniani kwa kukamilisha ibada moja miongoni mwa nguzo kuu ktk uislamu yaani Ibada ya hijja huko Makka.
Hivyo nawapongeza na kuwapa mkono wa Idi waislamu wote duniani hasa waislamu wa TZ na WA TZ wote kwa ujumla ktk sherehe hii tukufu!

Hongereni Waislamu na IDD MUBARAK!
 
ndugu zangu watanzania leo ni siku kubwa na tukufu kwa waislamu wote duniani kwa kukamilisha ibada moja miongoni mwa nguzo kuu ktk uislamu yaani ibada ya hijja huko makka.hivyo nawapongeza na kuwapa mkono wa idi waislamu wote duniani hasa waislamu wa tz na wa tz wote kwa ujumla ktk sherehe hii tukufu!

Hongereni waislamu na idd mubarak!


MINAL - 'AIDDIN!

the obligatory six-day pilgrimage of muslims in makkah (from 8th to 13 dhul-hijjah) is the largest gathering of people in the world at the same time and for a common objective. And the assembling of all pilgrims at arafah on the 9th of dhul-hijjah resembles the day of judgement (yaumu l-qiyamah) when the whole mankind will be summoned before the almighty, the creator.

barakatul - eid to jf readers in particular and to all tanzanians in general!!
 

Attachments

  • MALCOLM X - The Letter from Makkah in 1964.doc
    29 KB · Views: 88
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom