Eid Mubarak 2008

Status
Not open for further replies.
DSC_0631.JPG
 
Ndugu zanguni popote pale mlipo Duniani
Ninawatakieni Baraka za Idd
Mwenyezi Mungu awajaalie msheherekee kwa Amani.
 
Nawatakia waislam wote EID MUBARAK nadhani kwa waliokuwa U.k kwamba tunakula kesho IDD sasa sijui wenzetu watakuwa lini??Pamoja
 
Nachukua afasi hii kuwapongeza waisilamu kwa kukamilisha mfungo mtukufu wa Ramadhani na pia kuwatakia heri ya sikukuu wana-JF wote.



Kule Nigeria wamesali leo, Saudia na UAE wametangaza idi ni kesho na nchi nyingine zilizobaki duniani itakuwa Jumatano.

Nawatakia sikukuu njema ndugu zetu wa Ansar Sunna!

IDD NJEMA ndugu zangu waislam!!!!!!IDD sio mwisho wa kutenda mema.
maadili na uchaji uliokuwanao wakati wa mwezi mtukufu uendeleze siku zote za maisha yako ili siku moja ukalipwe kwa wema na uchaji wako!!!


........nilitamini kweli hii sikukuu ianze alhamisi ili tuwe na long weekend tupumzike kwa siku nne zingetosha kabisa kwenda kutembelea ndugu na jamaa sehemu za mbali kidogo na kuwahi majukumu j3......anyway ndo hivyo tena 2dayz off the kazi then mapumziko....ijumaa imetuharibia kweli.........

all in all sikukuu njema watanzania zangu
 
........nilitamini kweli hii sikukuu ianze alhamisi ili tuwe na long weekend tupumzike kwa siku nne zingetosha kabisa kwenda kutembelea ndugu na jamaa sehemu za mbali kidogo ..

all in all sikukuu njema watanzania zangu

Zenj wanaweza kutangaza na Ijumaa kuwa siku ya mapumziko....
 
GAME THEORY,

..Sheikh Zayed kwanini hawajengei Waislamu wa Tanzania hata hospitali moja ya rufaa?



..EID NJEMA KWA WATANZANIA WOTE.

Khee kulikoni? Bwan Mkuu. Tanzania haina dini. Unataka hospitali ya rufaa kwa waislamu tu. Tuwatenge wenzetu wa dini na madhehebu mengine?. La hasha!!. Sheikh Zayed atajenga lakini kwa manufaa ya Wa-Tanzania wa dini zote-Inshaalla.
 
haya tena salaam za iddi from Mombasa

1671532.jpg


bila kuwasahau Muslim sisters from Amerikkka
200401855-001.jpg


na kule Umm Saqin

sb10064908c-001.jpg


na Zenji tena
sb10063692e-001.jpg
 
We extend greetings to the Muslim community on the happy occasion of Eid.

May the festival be a moment when we commit ourselves to work together to build a society characterized by harmony and respect for one another's beliefs.

eid.jpg

 
Mauzo ya mdudu yalikwenda chini.....now they can make it.Eid njema msilipizie mliyoyakosa 30 days
 
Assalamu alaikum / Peace be upon you, JF Members and non Members

To whom who celebrate it, Eid Mubarak!

Happy Eid ul Fitr!. May Allah, God almighty accept your fasting and other ibadah (deed). May Allah remove all your sins, so you become as clean as when you were just born (Fitr).

Please extend your dua to those who are sick and suffering that can not celebrate this occasion as convenient as us.

To those who who don't celebrate it, God bless you all.
 
Masatu,

..Uislamu upo Tanzania toka zama hizooo.

..Sheikh Zayed aliyejenga msikiti mkubwa na wa anasa kiasi hicho, wakati wa uhai wake, kabla hajafariki 2004, amefanya nini kwa Waislamu wenzake wa Tanzania?

..hizi nchi za kiarabu/Kiislamu ni matajiri sana. it is about time tuanze kuwashika mashati wasaidie wenzao wa Tanzania.

..wengesaidia kujenga bonge la hospitali la rufaa bongo, kila m-Tanzania angefaidika.

..EID NJEMA KWA WATANZANIA WOTE.

Hayo yangewezekana mkuu lakini pindi kipindi wenye nazo wanapotaka kujua mashekhe shekhena wetu watazitumiaje fedha pindi zikiletwa ili wasiongeze wake basi inakuwa mgogoro; yalishatokea hayo kwa mkuu mmoja wa Al-haramain bongo miaka hiyooo, mwishowe wakaja kumsingizia eti gaidi ili aondolewe; bila ya ajizi ustaadh wa watu Abuu-Hudhaifa akapewa notisi ya kuondoka nchi kwa muda fulani. Tuyajue yapo nayo haya pindi tukiendeleza mijadala yetu.

EID NJEMA!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom