eeh Mr President umemfanya nn huyu binti?

Huyo ndio charming JMK anaeweza kukufaya u feel comfortable wakati wowote, kamgusa panapotakiwa, la sivyo, ni waganga njaa hao wanajishebedua na kukengeuka labda wataalikwa kwenye dinner! Na jamaa enzi zake alikuwa mkali, siku hizi Mwenyeezi Mungu kamhidi na nasikia ni wa Hamsa Swalaat. Mungu amzidishie.

Wewe ni muongo, babako sio Hamsa Swaaat wala nini bado anafanya mambo yake kama kawa kule kwenye hotel ya mwarabu wake Kempiski Kiwengwa!!
 
attachment.php

Michapo ya kipwani; aka kimwambao imemwacha binti ya watu kushikilia mbavu, Kiwete hana dogo nyie, kakulia Msoga, nenda kauwauze wa Msoga watawaambie. Utavunjia mbavu bure
 
mambo ya IKULU hayo usifanye mchezo... huyo muda si mrefu utasikia ni mkuu wa mkoa au mbunge viti maalum.
 
Ndo maana anafanya juu chini kuwapa nyadhifa mbali mbali? Kitendo cha yeye kusema spika wa bunge wa kipindi hiki atakuwa mwanamke alipewa nini?
 
anamwambia ............ nimezeeka mwenzenu siku hizi nakula kwa macho tu.................
 
Huyo ndio charming JMK anaeweza kukufaya u feel comfortable wakati wowote, kamgusa panapotakiwa, la sivyo, ni waganga njaa hao wanajishebedua na kukengeuka labda wataalikwa kwenye dinner! Na jamaa enzi zake alikuwa mkali, siku hizi Mwenyeezi Mungu kamhidi na nasikia ni wa Hamsa Swalaat. Mungu amzidishie.

fafanua kwenye red nahisi mawazo/akili yako haijatulia!
 
Huyo ndio charming JMK anaeweza kukufaya u feel comfortable wakati wowote, kamgusa panapotakiwa, la sivyo, ni waganga njaa hao wanajishebedua na kukengeuka labda wataalikwa kwenye dinner! Na jamaa enzi zake alikuwa mkali, siku hizi Mwenyeezi Mungu kamhidi na nasikia ni wa Hamsa Swalaat. Mungu amzidishie.
Ulipita mtihani au vipi?
 
Kuna kitu sikielewi wakuu, hivi mtu hata akisali swalaa mia kwa siku,kama hatendei wananchi wake haki, kama kiapo alichokula kinavyohitaji awajibike, akatetea mafisadi na kuwapa kinga, akashindwa kuwa na serikali yenye kuwajibika kwa wananchi hizo swalaa huwa na maana kweli??

Maana maraisi wacha Mungu hawaogopi mtu, wanamwogopa Mungu tu. Na kwa ajili hiyo huwa na ujasiri wa kufanya maamuzi magumu lakini ya kijasiri kwa ajili ya wananchi na taifa zima, la sasa na la kesho. Kwa hilo hatukubahatika. Mungu ibariki Tanzania!
 
Back
Top Bottom