Eeh kumepooza humu ndani ..Kulikoni?

yeeeeeeah!ahah!
YEEAH YEEAAAH

mpwa unatisha mimi geoff nimekubali
unanata na biti hakika wewe ni mkali
nimekukubali wewe ni mkimya lakini mkali
wanajidanganya wanatisha wakati hawawezi
umenata na biti mpaka masaki kakubali

tukutane jambo tukapige pombe kali
tutakula maji mpaka iwe naiti kali

Nami nakukubali kwa kukata vina vikali,
Tunachana kiana japo fani si muhali,
Uhandisi na ughani na vipaji vya kila hali,
Wakikaa kivibaya tunakamata serikali,
Ngoja tuwahi jambo tupate vitu vikali,
Na huduma maridadi toka kwa totoz kali,
...............
 
Geoff na Xpin nyie ndo wale vijana wa Nako 2 Nako ..au ni waimbaji wa kujitegemea???
 
Geoff na Xpin nyie ndo wale vijana wa Nako 2 Nako ..au ni waimbaji wa kujitegemea???
sisi si waimbaji sisi mainjinia
injinia ni muimbaji kwasababu injinia ni creator
ukitupeleka ikulu hata nchi tunaongoza
ukitupeleka vyuoni tunaweza kuwa ma-lecha
ukitupeleka benki kazi yoyote tunafanya
ukitupa mic ndo kama hivi tunachana
tunachana chana mpaka wao wanadata
wamedata data hata vina wameishiwa
kaeni mkao wa kula alubamu inakuja
halafu wewe binti kwanin senksi unabana?
 
hey masaki leo umepasua jipu hadharani ila secret admire wako kama namjua vile huwa natabiri na shekhe yahya mala moja moja kwa mwaka ;)

Tehe tehe tehe! FL wewe kweli kiboko, yaani secret admirer wangu tayari unamfahamu? :) Sasa utani-PM au hili nalo linahitaji ''thread'' yake? :)
 
sisi si waimbaji sisi mainjinia
injinia ni muimbaji kwasababu injinia ni creator
ukitupeleka ikulu hata nchi tunaongoza
ukitupeleka vyuoni tunaweza kuwa ma-lecha
ukitupeleka benki kazi yoyote tunafanya
ukitupa mic ndo kama hivi tunachana
tunachana chana mpaka wao wanadata
wamedata data hata vina wameishiwa
kaeni mkao wa kula alubamu inakuja
halafu wewe binti kwanin senksi unabana?

mmh nina wasiwasi na huyu mhandisi anaetoa mipasho namna hii, labda uhandisi wa malenga na mnanda!
 
Katazame SENKSI nilongagonga,
Na nyingine ntagonga ntagonga na ntagonga,
madam bia tagonga na mimi senksi ntagonga,
Kundini umesharudi ingia bila kugonga,
Chonde chonde taratibu michuma usijegonga,
Ankal ntamwambia kreti moja upate gonga,
..........................

Kuna thread yake jamani njooni kule tupambane.
 
HODI....! HODI....!! Jamani? Ndo kwanza naingia jamvini kwa mara ya kwanza

Wajumbe nasema tena.. Hodi...! Hodi..!! Wenyewe......???

Karibu karibu...karibu ukae jamvini, wapo busy wana praktizi bongo flava, yaani hata hodi mlangoni hawaisikii
 
Lol na leo ndo sikukuu ya mapinduzi kumepoooza zaidi mko kwenye maandamano waasisi???
 
Wewe vipi hukwenda kwenye maandamano?

NIMESHAANCHA KUJIUSISHA NA MAMBO YOTE YA NJI HII ,NAWEZA KUCHANGANYIKIWA MASAKI !
NAKUMBUKA ULE MSEMO WA BIBLIA
nI BORA UWE BARIDI AU MOTO KULIKO KUWA VUGUVUGU
 
Lol na leo ndo sikukuu ya mapinduzi kumepoooza zaidi mko kwenye maandamano waasisi???

Wewe vipi hukwenda kwenye maandamano?

NIMESHAANCHA KUJIUSISHA NA MAMBO YOTE YA NJI HII ,NAWEZA KUCHANGANYIKIWA MASAKI !
NAKUMBUKA ULE MSEMO WA BIBLIA
nI BORA UWE BARIDI AU MOTO KULIKO KUWA VUGUVUGU

hahaha bongo tambarare, naona walioko kikazi zaidi ndo walio kwenye maandamano walalahoi bado ni mzigo kama kawaida tu!
 
NIMESHAANCHA KUJIUSISHA NA MAMBO YOTE YA NJI HII ,NAWEZA KUCHANGANYIKIWA MASAKI !
NAKUMBUKA ULE MSEMO WA BIBLIA
nI BORA UWE BARIDI AU MOTO KULIKO KUWA VUGUVUGU

kwa hiyo FL1 wewe ni moto au baridi
 
Ndo nini B kuniwahi nilitaka kumuuliza ivoivo lol

na wewe naona mule mule tu pole

Nimeisoma akili yako so to say!!!

mimi nipe hongera!!!!! am workerholic

hivi niulize wanaondaga kwenye maandamano niwazalendo sana? wanalipwa au inakuwaje??? mimi sikumbuki the last time kushiriki haya mambo mtanzania mwenzenu!!!!
 
Back
Top Bottom