Eeh kumepooza humu ndani ..Kulikoni?

Tunachana chana mistari na vina,
Tunachana chana hata pakiti valua,
Tunachana chana mpaka lebo za bia,
Tunachana ndovu, ngeti, na taska pia,
Tunachana kongoro koto kwa bia,
Tunachana mwendo tukutuku kwa gia,
Tunachana mwendo hata breki zikivia,
Bora liende tukate kiu kwa bia......
yeeeeeeaaah!
nimekukubali unatisha CHANA CHANA
tunachana chana huku mila twadumisha
tunacha nachana na vikombe tunachana
tunachana laga,tunachana na banana
tukitoka hapo twaenda gesti kuchanachana
tunawachanachana mpaka wao anasarenda
Tukitoka hapo na tukutuku chanachana
 
yeeeaah,AHAAA
YIIIAAAAH,huh
masaki amesusa,
anahatarisha ajira za watu wasiopungua saba
anasababisha baadhi ya watu kufa njaa
MASAKI kula bia,masaki badilika
bia ndo maisha,bia ndo mila

Hahaha!
Leo mistari mpaka Masaki atue,
Huwezi acha mila wadau wasistuke,
Tutatwanga vina mpaka msongo umvuke
Masaki stuka mishipa nayo istuke,
Kula bia kula bia kula bia....

Niendelee au nisiendelee? yeah?
 
hahahahahahahah!
UMEKULA SENKSI kwasababu UNATISHA
unashusha rhymes mpaka watu WANADATA
WANADATA DATA DATA DATA DATA DATA
kweli injinia unatisha kila kona
nimekukubali kwa valuu na nyama choma
nimekuheshimu ni kijana wa kimila
tukitoka hapa stendi ya kwanza basihaya

hahahaha watu mmedata ..hapa ndani mnaimba Bongo fleva au ..
 
HODI...!!! HODI...!! Wenyewe...! mwenzenu mimi ni mgeni sana humu jamvini. Ndo kwanza naanza kujifunza kuchangia mijadaLa....!!!!!!
 
yeeeeeeaaah!
nimekukubali unatisha CHANA CHANA
tunachana chana huku mila twadumisha
tunacha nachana na vikombe tunachana
tunachana laga,tunachana na banana
tukitoka hapo twaenda gesti kuchanachana
tunawachanachana mpaka wao anasarenda
Tukitoka hapo na tukutuku chanachana

eeeh ehehehe jamani hapa mmenipotezea siwawezi nyie
 
Hahaha!
Leo mistari mpaka Masaki atue,
Huwezi acha mila wadau wasistuke,
Tutatwanga vina mpaka msongo umvuke
Masaki stuka mishipa nayo istuke,
Kula bia kula bia kula bia....

Niendelee au nisiendelee? yeah?
ENDELEEAAAAAA MPWAAAAAAAAAAAAAAAA
ahaaah!YEEEAAAAH!...HUH YEEEAAH


tunamtaka kaiza alete vesi ya kuchanachana
tutachana vina mpaka masaki anasimama
masaki kula bia masaki kula bia
muhudumuuu,hapa kwa masaki tuletee hiyo laga
kaiza chanachana ,masaki pata laga
....yyeeeeaaah!
 
hahahaha watu mmedata ..hapa ndani mnaimba Bongo fleva au ..

Kudata ni kudata mpaka kudatadata,
Tutadata na masaki mpaka aache kudata,
Hawezi data na mila tumwache afe-kidata,
Tutadata na data mpaka azipate data,
Tutadata na bia hata kama tukidata,
Huwezi acha kudata kama unataka data,
Tutadata na kudata mpaka data zitadata!
.......................
 
HODI....! HODI....!! Jamani? Ndo kwanza naingia jamvini kwa mara ya kwanza

Wajumbe nasema tena.. Hodi...! Hodi..!! Wenyewe......???
 
ENDELEEAAAAAA MPWAAAAAAAAAAAAAAAA
ahaaah!YEEEAAAAH!...HUH YEEEAAH


tunamtaka kaiza alete vesi ya kuchanachana
tutachana vina mpaka masaki anasimama
masaki kula bia masaki kula bia
muhudumuuu,hapa kwa masaki tuletee hiyo laga
kaiza chanachana ,masaki pata laga
....yyeeeeaaah!

Binamu nimekukubali kwa mashairi na vina,
Wapwa kwa bongo flava ni kama Kalapina,
TID na Ngwea vina vyao havina kina,
Bila hiyana wapwa laga nitaikamata tena!
 
Kudata ni kudata mpaka kudatadata,
Tutadata na masaki mpaka aache kudata,
Hawezi data na mila tumwache afe-kidata,
Tutadata na data mpaka azipate data,
Tutadata na bia hata kama tukidata,
Huwezi acha kudata kama unataka data,
Tutadata na kudata mpaka data zitadata!
.......................
yeeeeeaaaaah!ahaa!CHECK IT,....!YIAAH
UMEKULA SENKSI kwa verse yako data data
sisi tutadata mpaka masaki anaelewa
tumeamua kudata mpaka masaki anashika laga
tunakula bia kuhakikisha tunadata
tutakula bia pia mila TADUMISHWA
wanatuchukia lakini sisi twasongesha
tutakula bia mpaka akili tacharuka
kesho mapumziko kiamka ni kula bia
tutakula bia paka masaki alete dataaaaz

yeeeaaah!aha! ya ya ya ya
 
HODI....! HODI....!! Jamani? Ndo kwanza naingia jamvini kwa mara ya kwanza

Wajumbe nasema tena.. Hodi...! Hodi..!! Wenyewe......???

Karibu sana, tunaomba ujitambulishe jinsia yako tafadhali, kama wewe ni HE, tafadhali sana twende taratibu maana wengine tuna ''sectret admirers'' wetu humu bado hatujarusha ndoano.....Usije ukaharibu! :)
 
eeeh ehehehe jamani hapa mmenipotezea siwawezi nyie
Kupotea tapotea ka ikibidi kupotea,
Tukikwisha kupotea bia tutapotezea
Yeah hatupendi potezea visivyopotezea,
Kaizaaaaa? Wapi kaizer poteleaa?
Nguli wapi potezea vina wavisusia?
Shusha vina wapwaz masaki rudi dimbani
 
FirstLady1 nashukuru kwa kunikaribisha. Maana nimeona kimya nikadhani watu hawamo leo jamvini...! Nikataka nirudi........!
 
Binamu nimekukubali kwa mashairi na vina,
Wapwa kwa bongo flava ni kama Kalapina,
TID na Ngwea vina vyao havina kina,
Bila hiyana wapwa laga nitaikamata tena!
yeeeah!mameeen x-pin U THERE?CN U READ THE BOLDED PART?....
YEEEEAAH! WOW WOW!.....
gimmie that......yah

ametukubali nazo bia atakamata
anadata data mpaka sisi tunadata
atakula bia nasi vina tunavichapa
masaki nata nata nata nata nata nata

yeeeeah!.....ah
 
Binamu nimekukubali kwa mashairi na vina,
Wapwa kwa bongo flava ni kama Kalapina,
TID na Ngwea vina vyao havina kina,
Bila hiyana wapwa laga nitaikamata tena!

Katazame SENKSI nilongagonga,
Na nyingine ntagonga ntagonga na ntagonga,
madam bia tagonga na mimi senksi ntagonga,
Kundini umesharudi ingia bila kugonga,
Chonde chonde taratibu michuma usijegonga,
Ankal ntamwambia kreti moja upate gonga,
..........................
 
Katazame SENKSI nilongagonga,
Na nyingine ntagonga ntagonga na ntagonga,
madam bia tagonga na mimi senksi ntagonga,
Kundini umesharudi ingia bila kugonga,
Chonde chonde taratibu michuma usijegonga,
Ankal ntamwambia kreti moja upate gonga,
..........................
yeeeeeeah!ahah!
YEEAH YEEAAAH

mpwa unatisha mimi geoff nimekubali
unanata na biti hakika wewe ni mkali
nimekukubali wewe ni mkimya lakini mkali
wanajidanganya wanatisha wakati hawawezi
umenata na biti mpaka masaki kakubali

tukutane jambo tukapige pombe kali
tutakula maji mpaka iwe naiti kali
 
Karibu sana, tunaomba ujitambulishe jinsia yako tafadhali, kama wewe ni HE, tafadhali sana twende taratibu maana wengine tuna ''sectret admirers'' wetu humu bado hatujarusha ndoano.....Usije ukaharibu! :)

hey masaki leo umepasua jipu hadharani ila secret admire wako kama namjua vile huwa natabiri na shekhe yahya mala moja moja kwa mwaka ;)
 
Back
Top Bottom