Edward Lowassa uso kwa Uso na Rais Magufuli kwenye Jubilei ya ndoa ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa

Baada ya kujifanya mjanja na kutangaza vita dhidi ya Raisi wa JMTZ akifikiri kwamba ana uwezo wa kumyumbisha Raisi Pombe Magufuli (PhD), sasa Dola ika hit back, mbowe anatakiwa ahame ktk kwenye nyumba yetu ya NHC na vile vile alipe deni letu la mabilioni analodaiwa!

CCM ni Chama Dola, acha kabisa, sasa mbowe chalii anamtuma fisadi lowasa akamuombee poo na bado!

1472310675592-jpg.388755
Nadhani umetoka kifungoni kwa spidi ya ajabu baada ya kuwa BANNED, kuwa makini!!
 
Kila siku kupayayuka na kujenga uadui na Dola ya Tanzania chini ya Raisi Magufuli, anaonyesha chuki binafsi kabisa dhidi ya Raisi Magufuli kila siku kumtukana akifikiri kwamba hilo litampa umaarufu kumbe anazidi kujidhalilisha na Raisi Magufuli anampuuzia tu, ona sasa bosi wake fisadi lowasa anayemtuma yeye kavaa suti yuko Masaki anakutana na Raisi Pombe Magufuli na full kicheko, yeye tundu lisu anaongea mpaka midomo inataka kuchanika na bado Gerezani anapelekwa!

Huyu jamaa tundu lisu ni moja kati ya watu less intelligent sijawahi kuona, kwani anashindwa kuelewa kwamba kwenye nchi yenye mfumo wa TZ yetu kamwe hakuna anayeweza kutangaza vita na Raisi wa JMTZ na akashinda!

1472310675592-jpg.388755



mwalimu-jpg.388154
Hahaaah kuna kitu nimegundua...kama kuna watu wanaoitesa ccm vibaya mno hii nchi bhac ni mbowe na tundu lissu
 
Umeshamsikia mbowe tangu alivyoambiwa kwamba ahame ktk kwenye nyumba yetu?
Mh Mbowe alishatoa maelezo ya madai ya NHC kwa urefu. kwa kuwa umezoea kudandia magari kwa mbele ndio maana hukuona majibu yake.au ulitaka aje akunong'oneze?
 
I FEEL LOVE.. PASSION... UNITY... POLITICAL MATURITY..!!

Hawa wote Mh. Rais Magufuli na Mh. Lowassa ni washindi... hakuna mshindwa nikimaanisha wote wanajenga nchi moja, yenye amani na upendo.. wote ni wachapa kazi..

Nina FURAHA kubwa sana.. hata ile Lowassa kukutana uso kwa uso na Magufuli na kuteta jambo ni kuleta urafiki mzuri mioyoni mwao.. hiyo inatosha kabisa...!!

Niseme kabisa... Moyo wa Lowassa ni mkubwa kama DUNIA HII YOTE..!!

Mh. Rais mstaafu Mkapa he is a POLITICAL GENIUS...!! na niseme, Mkapa anawapenda wote kwa moyo kabisa Mh. Rais Magufuli na Mh. Lowassa... so ni marafiki zake... Mh. Mkapa na Mh. Lowassa ni family friends kwa muda mrefu sanaaaa...!!

KITUKO:::::::::

KITUKO::::::::: Mzee wa Msoga vepeeeeee...!!? Kala kona hahaaaaa... am sure Mzee wa Msoga atakuwa kamwambia Mkapa kama Mh. Lowassa anakuja mm haukuji... haha.. i guess.. kasema mm haitakuja kabisaaaa.. teh..!! Wapi Mzee wa msoga na tabasamu lake..!!? Baba Riz vepeeeee..?

Mungu wabariki viongozi hawa..!!

Tanzania kwanza..!!
 
Mh Mbowe alishatoa maelezo ya madai ya NHC kwa urefu. kwa kuwa umezoea kudandia magari kwa mbele ndio maana hukuona majibu yake.au ulitaka aje akunong'oneze?


Tunamdai mabilioni ya shilingi ambayo anatakiwa alipe, bado Hoteli zake nyingine ambazo amekuwa halipi kodi!
 
Baada ya kujifanya mjanja na kutangaza vita dhidi ya Raisi wa JMTZ akifikiri kwamba ana uwezo wa kumyumbisha Raisi Pombe Magufuli (PhD), sasa Dola ika hit back, mbowe anatakiwa ahame ktk kwenye nyumba yetu ya NHC na vile vile alipe deni letu la mabilioni analodaiwa!

CCM ni Chama Dola, acha kabisa, sasa mbowe chalii anamtuma fisadi lowasa akamuombee poo na bado!

1472310675592-jpg.388755
1472313959593.jpg
shkamoo ngoyai wewe ni mashine kubwa kwa wewe kila ccm atapata goti
1472314022012.jpg
 
Hakuna Mwanasiasa nchi hii aliyewahi kwenda mbali kumtukana na kumkejeli Raisi wa JMTZ kama tundu lisu, hilo halijawahi kutokea!
subiri hukumu ya hiyo kesi ndipo utajua kama kweli alimtukana na kumkejeli halafu tutajuzana humu humu. usije tu ukakimbia kama kawaida yenu lumumba.
 
Back
Top Bottom