Edward Lowassa uso kwa Uso na Rais Magufuli kwenye Jubilei ya ndoa ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa

Kwa kifupi, picha inambeba zaidi Lowassa maana inaonyesha Uvumilivu na Political Maturity ya hali ya juu sana dhidi ya waliombeza na kumkejeli wakati wa kampeni.

Lowassa si mjinga bali yuko kimkakati zaidi na ana vision.

He is a talented politician and not a politician by chance.

Kwa msioelewa,hii picha inamuweka Lowassa moyoni mwa wana-CCM hata akiwa nje ya CCM na ataendelea kukubalika na wana-CCM hata akiwa nje ya CCM.

Hapa kaua ndege wawili kwa jiwe moja.
Hiii n maoni yako..usimlishe maneno Eddo..tulimtuma kuja upinzan kuwanyamazisha kama Mrema alvofanya.....
 
Msg kubwa aliomba JPM ni hali ya Binti yake baada ya Mkwe wake Au Mume wa Binti yake kuwekwa rumande
 
TBC NEWS:

Furaha yatawala kanisani:

Mh. Rais Magufuli akiwa katika jubilee ya miaka 50 ya ndoa ya Rais mstaafu Mkapa, kwenye kanisa la Mt. Petro Dar es salaam, aliacha furaha kubwa na kanisa zima kulipuka kwa
furaha na makofi na vigelegele aliposema...

" Leo na mimi nimepata muujiza katika jubilee hii ya kipekee... nimekutana na Mh. Lowassa na kupeana mikono huku akifurahiii sanaaaa toka moyoni.. na kuchekaaaa.. kanisa zima likalipuka kwa shangwe...!! akaendelea kusema " Sbb tokea tuanze kampeni hadi tumemaliza hatujawahi onana...!! Nashukuru sana..!!"

Mungu ibariki Tanzania..!!
 
1472318532698.jpg
 
JPM akubali kushauriwa na kukaa na wapinzani tujenge nchi pamoja nchi yetu sote!! Akubali kukosolewa
TBC news:

Back
Top Bottom