Edward Lowassa uso kwa Uso na Rais Magufuli kwenye Jubilei ya ndoa ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa

Hakuna Mwanasiasa nchi hii aliyewahi kwenda mbali kumtukana na kumkejeli Raisi wa JMTZ kama tundu lisu, hilo halijawahi kutokea!
Siyo nchi hii tu bali duniani kote haijawahi kutokea. Yaani hata huko Misiri, Libya na Syria haijawahi kutokea mwanasiasa wa aina hiyo, halafu akabaki anadunda. Only in Tanzania. Hope to meet him on the front line on 1st September or may be at Mirembe thenafter.
 
Wakati unaandika ulikuwa unawaza nini?Najaribu kuuelewa uzi wako lakini nimekwama!Jf sasa imejaa watu wanaowaza kwa kutumia matumbo!Jifunzeni kuandika vitu vinavyoleta logic,sio upuuzi kama huu!
Si bora angekua anatumia tumbo, anatumia "makota" kabisa
 
Hivi wewe unajitambua kwamba huwa uko lipumbavu sana? Ninawasiwasi kama wewe siyo m.z.o.g.a uliojaa funza ambao watu hawakuona hata kama una hadhi ya kuzikwa, basi lazima una maradhi ya laana. Kwamba kichwa chako kimejaa m.a.v.i na ndiyo unatumia kufikiria.
 
Hapo ndio mjue jamaa kawazidi akili.

Polisi angalieni sana haya mambo!

He is not flexible for nothing,but he is flexible due to the kind of politics we have and above all, due to the nature of the electorate we have in our country and therefore he acts accordingly.

Lowassa is concerned about how the electorate behaves and never about politicians around him that's why he fits anyway.

Hapa anaimarisha UKAWA na anajijenga kisiasa pasipo CCM kujua.
Paka mafuta utakavyo,jamaa kawaangusha sana,ni usaliti kukubali kwdnda kula sambusa za mkapa wakati huu kina mwalimu aliowatuma kuchochea fujo wananyea debe
Ndio maana chadema wenye akili walikuwa wana maswali mengi sana juu ya Lowassa
 
Kwa kifupi, picha inambeba zaidi Lowassa maana inaonyesha Uvumilivu na Political Maturity ya hali ya juu sana dhidi ya waliombeza na kumkejeli wakati wa kampeni.

Lowassa si mjinga bali yuko kimkakati zaidi na ana vision.

He is a talented politician and not a politician by chance.

Kwa msioelewa,hii picha inamuweka Lowassa moyoni mwa wana-CCM hata akiwa nje ya CCM na ataendelea kukubalika na wana-CCM hata akiwa nje ya CCM.

Hapa kaua ndege wawili kwa jiwe moja.
ujue ndugu yangu haya maneno unayoyaongea as if huko alipo sasa hao alionao hawakumbeza na kumkebehi.........kuwin mioyo ya wanaccm hakuanza leo alianza toka muda na sio jambo geni kwa mfuatiliaji wa siasa kulitambua hili...........mbona hata kikwete alisemwa sana na viongozi wako wakina mbowe lakini still aliweza kukaa nao meza moja sembuse lowassa??
 
Paka mafuta utakavyo,jamaa kawaangusha sana,ni usaliti kukubali kwdnda kula sambusa za mkapa wakati huu kina mwalimu aliowatuma kuchochea fujo wananyea debe
Ndio maana chadema wenye akili walikuwa wana maswali mengi sana juu ya Lowassa
Subiri kuona kama hawajaachiwa wote.
 
..maskini lowassa ! kwenye hiyo picha wanayonong'onezana na jpm kakaa kwa hurumaa! kama kakinda cha ndege kalichofukuzwa ghafla na mama yake.
 
Kwa kifupi, picha inambeba zaidi Lowassa maana inaonyesha Uvumilivu na Political Maturity ya hali ya juu sana dhidi ya waliombeza na kumkejeli wakati wa kampeni.

Lowassa si mjinga bali yuko kimkakati zaidi na ana vision.

He is a talented politician and not a politician by chance.

Kwa msioelewa,hii picha inamuweka Lowassa moyoni mwa wana-CCM hata akiwa nje ya CCM na ataendelea kukubalika na wana-CCM hata akiwa nje ya CCM.

Hapa kaua ndege wawili kwa jiwe moja.
Lowasa aliisha kisiasa October 25, 2015, haya mengine ni kutapatapa kama vile kuku afanyavyo mara baada ya kumchinja.
 
Back
Top Bottom