Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

Ufisadi upo ccm sio Lowassa ndo ndo maana mnamwekea vipingamizi vingi lkn bd kawashinda na hakuna ushahdi ukumhukumu yakuwa fisadi nyie ccm mshakwisha mkubali kuachia madaraka .
 
Huu upuuzi ulioandika peleka kwa mwalimu wako wa shule ya msingi akufundishe kuandika. Una mfanya Rais Kikwete mjinga kama wewe. I weje afanye kikao cha kufanya uchunguzi leo wakati miaka yote ya nyuma hakujigusa pamoja na watu kumsema Lowassa fisadi. Kabla hamjaandika posts zenu hapa muende kupimwa akili. Kikwete amewatosa CCM. Sasa ivi mtu akitaka Urais ndani ya CCM atajijua mwenyewe. Hakuna anayetaka kujiingiza kwenye kashfa za kijinga.
 
Ningeipa uzito post hii kama ungeniambia unachosema ndio mtazamo wa JWTZ, lakini TISS sishangai hata kidogo maana tunapoongelea kuing'oa CCM tunamaanisha pamoja na TISS yake kwasababu hii taasisi imekuwa ikitumika vibaya tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe. Tunachokitegemea ni nguvu ya umma pekee na si baraka kutoka kwa TISS.
 
The great thinkers always know how to treat their enermies!!
  1. This is a non-stop racing.
  2. Nomatter how long night is,a day must come.
  3. Sometimes enermies have great influence to someone's sucess
 
attachment.php
 
wewe nimwehukweli umekaanamkeo mnadanganyana hamjuu hata katiba inasemaje kamamtu hatogundulika na kosa mahakamani ndani ya miaka mitano bc mtuhuyo hana hatia sasa lowassa mtamtaftia sababu ip?yani ccm mmebanwa pabaya
 
Hata bila kumzuia kugombea, lowasa hana ubavu wa kushinda urais. Hofu yetu ni chama kitabaki na hali gani baada ya hili fisadi kugaragazwa!

wewe una akili sana, salama ya chama cha chadema ni lowassa ashinde urais, akishindwa kitakuwa na hali mbaya haijawahi tokea, viongozi wote wa ukawa watalaumu chadema kwa maamuzi yao ingawa sasa wanaonekana kitu kimoja.
 
Ndugu Mbowe,

Mmeangaika kwa kipindi kirefu kukijenga Chadema, lakini umekiuza. Umekibomoa chama na kuingia kwenye mitego ya CCM ambayo mmekwepa kwa muda mrefu.

Kutokana na dharura iliyopo, napenda niwataarifu kwamba, Tumeshirikiana kwa kipindi kirefu, tangu 2010, na lengo kubwa limekuwa ni kulisaidia chama chenu kikue. Tumeweka maisha yetu hatarini kwa ajili yenu ili ukombozi upatikane. Kwa kifupi wengi ndani ya TISS wamechukizwa na uamuzi huu, siyo wa kumkaribisha Lowassa, bali wa kumpa nafasi kwenye Urais, na bila shaka wataungana na Magufuli. Zitto alipowekwa, tuliwaambia na ushahidi, na mkakinusuru CHADEMA. Kila mara tunawapa nyaraka na ushahidi mwingi. Kwa nini mmetupuuza?

Chadema mmeonekana kama wasaliti na watu wanaotafuta madaraka kama lowassa. Hasa Mbowe, bila kuangalia maslahi ya umma.Dr. Slaa aliogopwa zaidi na watawala

Hivi sasa chama tawala kina fanya mikakati mizito kumzuia Lowassa kugombea. Kabla ya Dodoma, kuna wanasheria na Makachero toka TISS waliwekwa kukusanya ushahidi kutoka ndani na je ya nchi, dhidi ya Lowassa, Rostam, Karamagi na Chenge. Na kwa taarifa yenu Apson anafanya kazi ya TISS siyo ya Lowassa. Chama inashirikiana na Serikali za Uingereza na Marekani kuonyesha uchafu wa Lowassa. Zaidi ya yote, wana ushahidi mwingi sana wa kimaandishi, sauti na video kumuonyesha Lowassa akigawa Rushwa na kufanya kampeni kabla ya muda muhafaka.Kwa kifupi, ushaidi tuliouona, Lowassa atazuiliwa na mahakama.

Kikao cha Jana usiku ambayo Rais Kikwete alishiriki kupitia Skype imedhamiria kutumia vyombe vya dola na vya habari kumuanika Lowassa na uchafu wake. Kwa maana hiyo Lowassa haendi kokote. Mkimisimamisha mmekwisha. Wasiwasi wa CCM ilikuwa ni Dr. Slaa na siyo Lowassa. Lowassa ana fedha nyingi sana nje ya nchi hadi na biashara haramu. Account zote zimeshapatika. Rostam anafanya kazi nzito, na hawa wote wanakuja kuunganishwa na Chadema pamoja na Mbowe.

Kadhalika kuna watu wengi sana kutoka CCM ambao wanakuja kuisambaratisha chama Chenu. CCM walijua wazi kabisa kwamba Dr. Slaa asingekubali uchafu wa Lowassa na angejiuzulu Lowassa akikaribishwa na kundi lake la Mafisadi. Hi imeshatokea, kwa maana kwamba CCM wana taarifa za Dr. Slaa kujiuzulu ingawa hawana uhakika. Kazi kwenu ila mkipuuza huu ushauri hamna chenu.

Izi njama za ccm izi angalieni kwani ccm kuna msafi anaefaa uraisi nao wanaogopa kuanikwa
 
Kwa kutunga hekaya tamu mtu anaweza kudhani una undugu na Mark Twain.
 
Kama nimekupata vema:

-wewe ni usalama wa taifa

-tangu mwaka 2010 umekuwa ukikisaidia chadema kikue

-umekipa siri nyingi chadema

umehudhuria Mkutano wa mheshimiwa rais kwa njia ya Skype.

Hivyo basi:

-CCM wanapanga kumchafua Edward

-Na kwamba alianza kampeni nje ya muda

-Na kwamba ni fisadi

Maswali sasa:

-Upi uaminifu wa kujivunia ulionao kwa taifa lako wa kuvujisha siri?

-Kampeni nje ya muda ilikuwa ni katika chama gani ambazo Edward alianzisha?

-Je,uenguaji wa wale wegine 38 ulikuwa ni kwa sababu ya huo ufisadi,kufanya kampeni nje ya muda au kuna mengine?
 
Heeee!! Leo TISS ndio wamegundua kuwa Chenge ni Fisadi??
Plus kweñye hekaya yako umeandika kuwa CCM hawamuhofii lowassa sasa mbona mnahangaika kumzuia kama mnajua hatashinda. Kipi mnagopa kutoka kwake
 
Back
Top Bottom