Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Kwa huyu wa huku wa madarakani - hawezi kwenda kule kwa sababu huyu urafiki kwake huwa hauhusishi na madaraka aliyopewa. Ndiyo maana hata rafiki zake wengine amewatumbua kiurahisi.
Asa mbona wakati odinga yupo chato alikampeniwa au sikuelewa?!??
 
Mleta uzi uko sahihi ila siku nyingine usijipambanue upande unaounga mkono maana hapo ndo umepoteza radha hata kile ambacho ningechangia hakitakuwa na maana tena
 
Swali chokonozi,Tanzania kuendelea kuingilia chaguzi za kenya je Tunajiandaa kuwa superpower wa East Afrika au ni siasa siasani.

Jaluo ana mkono wa sizonje

Uhuru anamtumia Lowassa
Hii imekaaje

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Hapo.ndo utaisoma siasa vizuri pale Uhuru atakaposhinda figisu figisu zinatuhusu
Ashinde uhuru kwa sbb mzee wenu yupo kenya aende na DJ mstahafu wenu(mbowe) mziki ni mgumu safari hii,labda tuwe atujatia mkono wetu ktk uchaguzi huo lakini km tumeweka mkono wetu hakuna wa kumzuia odinga.mifano ipo pote tanzania ilipotia mkono ushindi lazima,mwaka wa odinga huu.povu sitaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
deac3b67288720b506d68e55cb03e492.jpg
d3276cf32a1d0704444a91f0e9ee1b9b.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app

View attachment 558088 View attachment 558093 View attachment 558094
Kwa gundu la ukawa ni rahisi uhuru kuanguka au kumwaga damu

Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom