BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 764
Salama wandugu, kuna kitu nimegundua katika kipindi kama cha miaka kumi sasa kufanya MBA imekuwa ni FASHION. Nimetumia neno fashion kwa vile kuwa nayo inaonekana kama vile umekuwa wa kisasa zaidi bila kujali nini umebeba kichwani.
Ni vizuri sana kuwa na MBA ila kama kweli ume achieve. Ili upate MBA ni lazima ufanye research then u compile your dissertation/thesis and defend.
OBSERVATIONS
Sasa hivi vijana hawafanyi research kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa ila wana copy na ku paste thesis nyingine na kuzi present sidhani hata kama wana defend. Supervisors have been very supportive on this ambao wao ni Ma Professor na Ma Doctors. Hii inanionyesha kwamba in the next twenty years Masters zote zitakuwa za KICHINA.
MIFANO YA VYUO NI ESAMI NA MZUMBE ZINAONGOZA KWA MASTERS ZA KICHINA.
MUNGU OKOA TANZANIA