Education systeam is the timed bomb in tanzania

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Salama wandugu, kuna kitu nimegundua katika kipindi kama cha miaka kumi sasa kufanya MBA imekuwa ni FASHION. Nimetumia neno fashion kwa vile kuwa nayo inaonekana kama vile umekuwa wa kisasa zaidi bila kujali nini umebeba kichwani.

Ni vizuri sana kuwa na MBA ila kama kweli ume achieve. Ili upate MBA ni lazima ufanye research then u compile your dissertation/thesis and defend.

OBSERVATIONS
Sasa hivi vijana hawafanyi research kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa ila wana copy na ku paste thesis nyingine na kuzi present sidhani hata kama wana defend. Supervisors have been very supportive on this ambao wao ni Ma Professor na Ma Doctors. Hii inanionyesha kwamba in the next twenty years Masters zote zitakuwa za KICHINA.

MIFANO YA VYUO NI ESAMI NA MZUMBE ZINAONGOZA KWA MASTERS ZA KICHINA.

MUNGU OKOA TANZANIA
 
Umeongea kitu cha maana sana mkubwa ila nasikitika mada kama hizi huwa hazichangiwi sana watu wanataka mada zenye tija kama za chadema kufanya maandamano, wabunge kutoka bungeni, ngono, jk kuhudhuria mazishi.
 
politicians rule the world
 
Naamini vyou vina wajibu mkubwa katika kuhakikisha elimu inakua ya kiwango cha juu.pia inaonekana sisi watanzania wenyewe tunapenda uchakachuaji.
 
Salama wandugu, kuna kitu nimegundua katika kipindi kama cha miaka kumi sasa kufanya MBA imekuwa ni FASHION. Nimetumia neno fashion kwa vile kuwa nayo inaonekana kama vile umekuwa wa kisasa zaidi bila kujali nini umebeba kichwani.

Ni vizuri sana kuwa na MBA ila kama kweli ume achieve. Ili upate MBA ni lazima ufanye research then u compile your dissertation/thesis and defend.

OBSERVATIONS
Sasa hivi vijana hawafanyi research kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa ila wana copy na ku paste thesis nyingine na kuzi present sidhani hata kama wana defend. Supervisors have been very supportive on this ambao wao ni Ma Professor na Ma Doctors. Hii inanionyesha kwamba in the next twenty years Masters zote zitakuwa za KICHINA.

MIFANO YA VYUO NI ESAMI NA MZUMBE ZINAONGOZA KWA MASTERS ZA KICHINA.

MUNGU OKOA TANZANIA
Huko mbali,tatizo ni kwamba ubabaishaji umeanza tangu chini,samaki mkunje angali mbichi,gpa zenyewe za undergraduate zinasoma 4....,halafu za kumwaga,then hao ndio wanachaguliwa kuwa ma TA muulize kichwani una nn,utabaki mdomo wazi!
 
Kwa mtazamo wangu elimu Tanzania inachakachuliwa vibaya sana nani wa kulaumiwa mi sijui lakini serikali haiwezi ikakwepa kulaumiwa pamoja na uongozi wa vyuo husika na wanafunzi wanaosoma vyuo hivyo.kwa upande wa serikali inatakiwa ianzishe bodi ya kuhakiki na kufuatilia ubora wa elimu Tanzania kwa ujumla sio TCU kwani uchakachuaji wa elimu ni roho chafu inayoanza kukua tangu mwanafunzi anapokuwa shule za msingi unakuta amezoea udanganyifu katika mitihani kwa kuibia majibu akifika sekondari wembe uleule hadi akifika chuo kikuu kazi zikitolewa (seminar work) watu wanacopy na kupest akifika masters anacopy dissertation ya mtu na kupest hakuna jipya bongo. Walimu, wakufunzi, maprof na madocta wote wamekosa uadilifu wa kufuatilia kama kazi husika kweli ni original au feki wanasema bora liende wanaishia kutoa GPA with honor za uzushi mfano UDSM mwaka 2008 walitoa degree zenye honor za uongo hapa kosa liko wapi kama sio uongozi wa chuo? jamani elimu bongo full mchina.
 
Back
Top Bottom