Edibily Jonas Lunyamila,"Lunya"

acha!acha*acha!acha! huyu jamaa alikua balaa, tangu nianze kufatilia soka la bongo sijamuoana mchezaji wa kufikia *kiwango chake,
 
Hapo chini enzi hizo akiwa na Mohammed Hussein "Mmachinga" Hii ilikuwa siku ya mechi dhidi ya Simba kama sikosei...
scan0009%255B1%255D.jpg
 
Haya yalikuwa ni matangazo ya moja kwa moja kutoka Uwanja wa taifa mjini Dar es salaam kupitia redio Tanzania Dar es Salaam,"Mpira unatoka katika lango la timu ya Dar Yanga Afrikans kuelekea katika lango la timu ya Simba "Taifa Kubwa", Golikipa wa Yanga Steven Nemes anaupiga mpira vizuri kabisa hukuuuuu anauchukua Said Mwamba Kizotaa Kizotaa anampasia Method Mogella Mogella pembeni kabisaaaa anampelekeaaa kwakeeee Salum Kabunda Kabundaa Kabunda kwakeee Constatine Kimanda Kimandaaa anapeleka mpira kwa Ken Mkapa Ken Mkapa Mkapa Mkapa anatoa pasi ndeeeefuuuuu kwake Lunyamila Lunyaamiilaaaaaa Lunyamilaaaa chenga ya kwanza chenga ya piliii Lunyamila bado Lunyamilaaaa Lunyamilaaaa hatari katika lango ya timu ya Simba lalalalalalalal gooo lalaa goooo alalalalal Gooooooooooooooooooooooooo!!!
 
Umefanya thread iishie hapa !!!!!!!!!!!
 
one of the greatest player this country has ever produced. naamini kwa upande wa left wing, hakuna kama lunyamila ktk historia ya tanzania. inasikitisha aliishia hapa hapa na kuishia kupata visenti vya akina gulamali. ndo matatizo ya kuzaliwa at a wrong time au wrong place! wanamsifu Giggs, lakini Giggs kwa Lunyamila wala haoni ndani...
 
papa mopao hapo mtangazaji (afu awe swedi mwinyi) anaposema "sasa anao lunyamilaaa! Kweli nilikuwa nataka kuzimia! Huyu mtu itachukua muda nchi ku produce kipaji cha aina hii!
 
one of the greatest player this country has ever produced. naamini kwa upande wa left wing, hakuna kama lunyamila ktk historia ya tanzania. inasikitisha aliishia hapa hapa na kuishia kupata visenti vya akina gulamali. ndo matatizo ya kuzaliwa at a wrong time au wrong place! wanamsifu Giggs, lakini Giggs kwa Lunyamila wala haoni ndani...

Ni kweli kabisa
 
Ulipata kuziona wingi hizi Selstine Sikinde Mbunga, George Kulagwa au niendelee
 
Kimsingi wakati namaliza kidato cha 6 pale Shy dogo alikuwa F1 hivi,lakini dogo alitisha sana anga la football.
 
Wakuu, Lunyamila ametoa mchango mkubwa si kwa Yanga tu bali Taifa Stars na hata Simba pia. Ni muhimu tukatambua mchango wake kwa kubonyea mifukoni mwetu tumtoe kwenye udereva taxi au kama ana biashara nyingine tumwongezee mtaji. Kutoa ni moyo siyo utajiri, mwenye simu yake tuwekee tuanze harambee.
 
Bongo! Watamuenzi siku akifa, kila mtu ndo atajidai kumuenzi na kutoa lambi lambi badala ya kumsaidia akiwa hai. Shame on TANZANIAN
 
Wabongo noma mara ya mwisho lunya ,ali mayai,na dogo mmoja baadae alienda rwanda kucheza boli alikuwa na umbo kama ngasa walienda kujaribu bahati yao chile da cha ajabu aliyewapeleka akawapeleka kupanga mizigo supermaket badala ya boli aibu sana

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Huyo 'Dogo' uliyemlenga ni Ephraim Makoye; I presume.
 
Back
Top Bottom