Ebu tudiscus hii idm naona nina 1.5years nashindwa fanya yangu

Sahir Punzy

Member
Jan 13, 2015
86
55
IDM inanisumbua kweli na hii kitu ‘IDM has been registered with the Fake serial number ’. yaani nilikukuruka mda sana lakini sijafanikiwa licha ya kumaliza site zote ila sitaweza kutumia downloader yoyote zaidi ya hawa jamaa, ila hakuna kkisichowezekana katika ardhi nakumbuka na modemu iliniendesha miezi 6 lakini niikafanikiwa ku unlock.
 
Yaaah umeweka default dwnload manager....coz ilikua cravked na utakua uliallow update hapo lazma izingue
 
update idm mpya nenda kickass.to search idm download version iliotoka within a week au month itasolve
 
Hapo mbona case ni simple??
Kwanza kabisa disable IDM as defualt downloader (kama unatumia Mozila browser nenda kweny Addons then utaikuta IDM huko then click on disable)
Then fauta hatua zifuatazo
1: Ingia website inaitwa On Hax.net na ufikapo ndani ya web hii andika katika search box yao neno"IDM universal web cracker" then search.
2: Ukishaipata utakuta maelezo yake..(Yaan descrption za software) sasa wewe scrol down hadi uone download link za hii sofware na sio uclick sehem yeyote iliyoandikwa DOWNLOAD kwani huko unaweza ukijipatia Virus

Step inayofuata ndio kuicrack IDM..sasa kabla ya kufanya hatua hii...hakikisha umeizima IDM (yaan nenda pale kwenye Tray icon then ichek IDM kama ipo, right click on it an click Exit)
3:ukishafanikiwa kuidownload..itakuja katika ZIPed file kwahyo uwe na WinRar au Winzip ili uifungue..kwahyo ukishaifungua double click setup utakayoikuta ndan..(JAPO HAPA KAMA UNA ANT-VIRUS SUMBUFU KTK PC YAKO kama Kaspersky n.k ITABIDI UIZIME KABLA HUJA DOUBLE CLICK HII SETUP maana itapotea ktk mazingira ya kutatanisha)
4: Ukifanikiwa kuifungua basi utafuata maelekezo yaliyo ktk software hii.
 
Uninstall IDM.
Nenda downlod Free Download Manager hii ni bure kabisa na hakuna haja ya wizi wala kuhangaika na cracks/serials.
 
IDM inanisumbua kweli na hii kitu ‘IDM has been registered with the Fake serial number '. yaani nilikukuruka mda sana lakini sijafanikiwa licha ya kumaliza site zote ila sitaweza kutumia downloader yoyote zaidi ya hawa jamaa, ila hakuna kkisichowezekana katika ardhi nakumbuka na modemu iliniendesha miezi 6 lakini niikafanikiwa ku unlock.
http://en.browser.baidu.com/query/package.exe?lang=en tumia hii browser ina download manager mumo humo
 
IDM inanisumbua kweli na hii kitu ‘IDM has been registered with the Fake serial number '. yaani nilikukuruka mda sana lakini sijafanikiwa licha ya kumaliza site zote ila sitaweza kutumia downloader yoyote zaidi ya hawa jamaa, ila hakuna kkisichowezekana katika ardhi nakumbuka na modemu iliniendesha miezi 6 lakini niikafanikiwa ku unlock.
Download IDM ya free kama kawaida, kisha install ukimaliza, fungua patch kwenye attachment, kisha bofya patch weka jina la kwanza na pili, kisha ushamaliza kazi
Usisahau kudisable antivirus kabla hujafungua patch maana uwa inaonekana kama malicious file


 
ndio hapo zamani ilipiga mzigo sana ila nilikua sijui nini maana ya update hii ilikua miaka ya 2007
 
Wakuu ahsanten ngoja niishughulikie hii kitu nitafata hatua kwa hatua mpaka ikubali nikishindwa napiga chini window naanza moja.

Shukrani kwenu.
 
Addon kwenye mozila ipo kwenye menu yske ambapo kama unatumia latest version ya mozila basi kwa upande wa juu kulia karibu na search box kuna vimistari vinne vidogo...click hapo then zitakuja option nying..moja wapo ni "Addon" kwahyo utaclick eneo la addon ambapo utaon mozila imefungua Tab mpya....sasa angalia upande wa kushoto utaona tab inaitwa "Extension" click hapo alf angalia kulia utaona logo ya IDM na neno IDM CC.....sasa mbele yake kuna maneno "Disable" na Remove" kwahyo click disable
 
Usifanye hivyo maana once unapofanya mistake lazima utajutia mda ulio upoteza kuandaa kuload windows upya chakufanya kuna idm yenye regkey ambayo uta run kweny directory ya idm hii ni 100/100 au fanya kamaulivyo ambiwa na KANG ispokuwa kuna fures utazikosa
 
Mzee hii kitu nimeshindwa maana yale maelezo ya window/system32 siyaoni wala block.exe caz minatumia window7 bit 64 yaani naona chenga tu
 
Back
Top Bottom