Sahir Punzy
Member
- Jan 13, 2015
- 86
- 55
IDM inanisumbua kweli na hii kitu IDM has been registered with the Fake serial number . yaani nilikukuruka mda sana lakini sijafanikiwa licha ya kumaliza site zote ila sitaweza kutumia downloader yoyote zaidi ya hawa jamaa, ila hakuna kkisichowezekana katika ardhi nakumbuka na modemu iliniendesha miezi 6 lakini niikafanikiwa ku unlock.