Easy Television Decoder

kuzmich

Member
Mar 21, 2011
12
1
Wadau, natumia Decoder ya Easy Television,huwa nakilipia kila mwezi,chakushangaza kwenye hiki king`amuzi kina ch:32 lakini ninauwezo wa kutazama Ch: 18 tu na nyingine zinanidai Pin code ! kunayeyote mwenyekufahamu namna ya kuking`amua/ kukichakachua nachenyewe ? napenda kutanguliza shukran kwenu.
 
rescan
 
Nasikitika kwamba hakuna ambae ameweza hata kushauri ! nimepata ufumbuzi na sio kwa Easy pekeyao,kwa ving`amuzi vyote venyeuwezo wa kupoea data kupitia port za nyumba.
 
Tumwagie na sisi hayo maujuzi kama noma hadharani nimwagie pm
 
Nasikitika kwamba hakuna ambae ameweza hata kushauri ! nimepata ufumbuzi na sio kwa Easy pekeyao,kwa ving`amuzi vyote venyeuwezo wa kupoea data kupitia port za nyumba.

mkuu kunyamza kimya sio kukususia kwani sio kawaida hapa mtu kususiwa ni basi tu hakuna anayejua, hebu tuambie umefanyaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom