.
Bajeti ya nchi haiandikwi na mtu binafsi, bali ni mchakato unaowahusisha watu wengi, ila yeye kwa wadhifa wake ndiye anayeisoma bungeni!
You guys are inferior and pathetic...do you have to compare every lil thing with a poor neighbouring county? what is Kenya? how big is their budget $13B compare to $10B ??..both of the two are still very tiny economies in the global scale...:lol:
Una hakika? $ 5B???To add an insult to the wound. Kenya ambayo ni nchi ndogo kuliko Tanzania ki-eneo, Kenya ambayo ina population ndogo kuliko Tanzania. Budget yake ya 2011/2012 imeizidi budget ya Tanzania kwa $ 5 Billion. Pia Kenya budget yake inategemea LESS kwa wafadhili ukilinganisha na budget ya Tanzania.
Halafu mnajindanganya tutashindanaya na Kenya kwenye soko la Jumuiya ya Afrika Mashariki?!
Acha ushamba wewe,...unaita kenya poor?
Tanganyika itaitwaje sasa?
Bajeti ya kenye ni 1Trillion
ya Tanganyika ni 13Trillion,...unajua tofauti iliyopo?
We ndio mshamba maana hujui hata ulichoandika...:biggrin1:
Kenya wamebadilisha jinsi wanavyosoma budget yao. Hii wameiita 'ministerial statement'. Ndio maana nimewauliza maana ya budget ni nini?
Angalia hii video mpate somo. Ndio result ya new constitution hiyo.
Labda sioni vema, lakini ukichunguza hii ni kurasa nne kweli?
Labda sioni vema, lakini ukichunguza hii ni kurasa nne kweli?
We ndio mshamba maana hujui hata ulichoandika...:biggrin1:
I have watched it,it is very useful for discussion on the table!!!thank you very much!!!
haswaaHujamuelewa, anachotaka ni kutafuta jinsi ya kuitukana nchi yake tu.
1, tutaongeza kodi kwenye ushuru wa madini
2, tutaongeza ukusanyaji wa mapato
3, tutaongeza uzalishaji wa viwandani na kwenye sekta ya kilimo.
4, posho za vigogo wa serikali zitaondolewa kabisa.
5, semina elekezi zitaondolewa
6, matumizi ya serikali yatapungua kwa 50%
7, kipaumbele kitakuwa kwenye elimu, kilimo, na afya,
8, mishahara ya wafanyakazi itaongezeka kulinga na hali ya maisha ya sasa.
9, tutapunguza au kufuta kodi bidhaa za mafuta ili kupunguza ukali wa maisha kwa mwananchi wa kawaida.
HUU NI MFANO TU WA BRAA BRAA YA BUDGET YA TZ USIOHITAJI MAELEZO MENGI AMBAYO MWANACHI WA KAWAIDA HAYAELEWI, SIDHANI KAMA UNAWEZA UKAJAA UKURASA MZIMA. teh teh teh
Mambo ya katiba mpya hayo.Nusura Uhuru azuiliwe kusoma budget baada ya kushindwa kuiwasalisha budget aprili kujadiliwa kwa mujibu wa katiba.Busara za spika ndizo zimeokoa jahazi.hii video inafunga discussion kabisa! Kenya wamebadilisha system yao ya kusoma budget! Nashangaa watu bado wanashindwa kuelewa! Waache waendelee mkuu....
Inaonekana Wakenya wametutembelea jamvini hapa leo!!??
Bajeti ya Kenya ni ya wakenya kwa mahitaji ya Kenya; vilevile bajeti ya Tanzania ni kwa mahitaji ya Tanzania ya wakati huu. Vipi ulitegemea zifanane?