East African Countries' Budgets

ohoooooooooooooooo, ukenya na utanzania, mmmmh,, tunafanya comparison tu, wote ni wa isti afrika, wanamaji...... kuyafananisha haya mabajeti ni vizuri ili kupeana machangamono ya mabadiliko ya maselekali yetu....iiiiihhhhiii
 
Inaonekana Wakenya wametutembelea jamvini hapa leo!!??

Bajeti ya Kenya ni ya wakenya kwa mahitaji ya Kenya; vilevile bajeti ya Tanzania ni kwa mahitaji ya Tanzania ya wakati huu. Vipi ulitegemea zifanane?
tupende tusipende, wametuzidi

sie analog, wao digital
 
Ndiyo maana USA ni poweful mimi sielewi hizi namba Kenya wana pesa yao na Tanzania wana pesa yao je kuna mtu anaweza kuweka budget zote kwenye US Dollar.
 
vipi jamani pidiefu ya bajeti yetu wapi????

mzee unauliza pdf ya bajeti yetu wakati ukiangalia taarifa za mwezi uliopita bado hazijapositiwa nchi hi mwendo mdogomdogo. nahisi kama tupo kwenye kisiwa ambacho hakina mawasiliano sehemu nyingine ya dunia maana kila kitu tupo nyuma.
 
kila kitu kina uzuri na mapunufu yake. Bajeti yetu kiasi fulani ni nzuri ila tatizo utekelezaji wa kile kilichosomwa naimani hautakuwepo...Rais alisema sukari ishushwe bei lakini hakuna badiliko lolote lililotokea......Tutegemee maisha kuwa magumu zaidi na mazuri kwenye kurasa 126 kwa vigogo.....Deogratius KISANDU.
 
View attachment budget2011_12.pdf
Jamaa kachemka, Bajeti ya kenya ina kurasa 32 wakati ya Uganda ni kama kurasa 18 hivi... Lakini kuna tofauti ya FONT SIZE kati ya bajeti hizo, font size ya bajeti ya Tanzania ni kubwa kuliko font size ya bajeti za Uganda na Kenya.... Hata hivyo, zingekua na font size zinazofanana bado bajeti ya Tanzania ingekua kubwa zaidi kuliko bajeti hizo zingine ambazo inawezekana zingefanana kwa ukubwa!?

Nimeona mmekuwa mkijadili ukubwa wa bajeti ya Kenya, Tanzania na Uganda, basi kwa ajili ya kusaidia mjdala huu naweka hapa pia na nakala ya bajeti ya Tanzania mpime.

View attachment budget2011_12.pdf
 
You guys are inferior and pathetic...do you have to compare every lil thing with a poor neighbouring county? what is Kenya? how big is their budget $13B compare to $10B ??..both of the two are still very tiny economies in the global scale...:lol:

Acha ushamba wewe,...unaita kenya poor?
Tanganyika itaitwaje sasa?

Bajeti ya kenye ni 1Trillion
ya Tanganyika ni 13Trillion,...unajua tofauti iliyopo?

1ksh = 19 Tsh,...ina maana
1,000ksh=19,000Tsh,...ina maana
10,0000ksh=190,000Tsh,...ina maana
1M ksh=19M Tsh,...yaaani,
1T ksh = 19T Tsh,...
Afu unataka kulinganisha kibajeti kilicho jaa madeni na bajeti ya kenya?
tupa kule

Speaker,

Angalia Bantugbro ameandika in $USD
 
mzee unauliza pdf ya bajeti yetu wakati ukiangalia taarifa za mwezi uliopita bado hazijapositiwa nchi hi mwendo mdogomdogo. nahisi kama tupo kwenye kisiwa ambacho hakina mawasiliano sehemu nyingine ya dunia maana kila kitu tupo nyuma.

duuuuuu, hiiiiiiiiiii kali, na ulimwengu huuuu, mpaka bajeti inatangazwa haipo kwenye web, si ni kazi ndogo tu ya ku-pdf word document waliprintia , wajamini... mmmm-
 
duuuuuu, hiiiiiiiiiii kali, na ulimwengu huuuu, mpaka bajeti inatangazwa haipo kwenye web, si ni kazi ndogo tu ya ku-pdf word document waliprintia , wajamini... mmmm-

Angalieni vyema nimeshawawekea hapo nakala
 
Acha ushamba wewe,...unaita kenya poor?
Tanganyika itaitwaje sasa?

Bajeti ya kenye ni 1Trillion
ya Tanganyika ni 13Trillion,...unajua tofauti iliyopo?

1ksh = 19 Tsh,...ina maana
1,000ksh=19,000Tsh,...ina maana
10,0000ksh=190,000Tsh,...ina maana
1M ksh=19M Tsh,...yaaani,
1T ksh = 19T Tsh,...
Afu unataka kulinganisha kibajeti kilicho jaa madeni na bajeti ya kenya?
tupa kule


Acha kudharau nchi yetu bana, umeambiwa bajeti Kenya $13bil, Tz $10bil diff $3bil bado hutaki. Umeambiwa hizi nchi zote ni masikini def. ya WB. Sasa unaendeleza dharau kwa nchi yetu, nenda kaishi huko walau mwezi mmoja ndo utaona uzuri wa TZ.
Wenzenu wanawacheka tu mnabakia kujiona wanyonge. Shame on you. Usilete siasa za kitoto kwenye kila kitu. Base on facts.
 
hamna budget ya kurasa nne ile ni summary ya budget nzima acheni upopo nyie...
 
okay guyz, here are somethings you need to understand before saying kenya this tanzania that

kenya got a new constitution and with it new rules.

1) a sitting member of parliament(MP) is not allowed to be a minister. only a qualified technocrat(not a politician) who will nominated by the president but has to be approved by the parliament will be allowed to hold a ministerial office.

2)under the new constitution a minister is not allowed to stand in parliament to read the budget because each of the three branches of government i.e executive, legislature and judiciary will have its own budget. this means that they are each one of them is independent from each other therefore there is no manipulation. example, the judiciary cannot be manipulated by the executive branch.

3) therefore there will be no "budget day" in kenya anymore.

one more point, THE NEW KENYAN CONSTITUTION IS FREAKING AWESOME!!!!!!!!!!! IT HAS CHANGED FOREVER KENYA FOR THE BETTER. take time and watch these two videos



 
Last edited by a moderator:
Ukiangalia their new constitution, Kenyans will be the most democratic state in Africa,sasa ni wakati wa TZ kubadili ile katiba ya kikoloni na kuandika mpya kwa manufaa ya kila mtu..na hizo budget zisiwaumize kichwa they are just numbers,remember budget is just a forecast hizo 10 billions will never see a day,we dont have them and will never get them na zitakazo patikana zitaishia mifukoni mwa mafisadi!
 
I do not believe in a single currency.Look at what is happening in europe greece,ireland,spain and portugal are in more trouble because they can not devalue their currency to make their exports cheaper. We are also not in the same levels of develoment and some contries might dominate the others like Germany is doing to protect the Euro. We can have common markets but having one parliament is going too far. We have Ugamda which is stable at the moment but what will happen if Museveni goes,Burundi is another big question mark and with Southern Sudan wanting to join it makes it more difficult. The region is not stable enough for a single currency and any conlict in one of the countries will only cause chaos in the other countries.
 
Back
Top Bottom