Dvd Player ya Laptop yangu imegoma kusoma video contents, tatizo ni nini? Naomba msaada!

Morrison

Senior Member
Jun 6, 2012
102
17
Ni hivi karibuni nimepata tatizo na Laptop yangu, aina ya Toshiba yenye program ya Windows 7 kwa dvd player yake kushindwa kusoma video contents, ambapo mwanzoni ilikuwa ikizisoma bila tatizo lolote. Kwa sasa imegoma kabisa bali audio contents CD inazisoma tu bila shida.

Naomba msaada wa ushauri juu ya kulitatua tatizo hili kwa wajuzi walio hapa JF.

Natanguliza shukrani.
 
Ni hivi karibuni nimepata tatizo na Laptop yangu, aina ya Toshiba yenye program ya Windows 7, kwa dvd player yake kushindwa kusoma video contents, ambapo mwanzoni ilikuwa ikzisoma bila tatizo lolote. Kwa sasa imegoma kabisa bali audio contents cd inazisoma tu bila shida. Naomba msaada wa ushauri juu ya kulitatua tatizo hili kwa wajuzi walio hapa JF. Tafadhali kwa msaada wenu. Natanguliza shukrani.

Katafute majibu youtube usitupotezee muda sisi tunatafakari tanganyika yetu.
 
Back
Top Bottom