maji ya upako
Member
- Nov 11, 2012
- 6
- 1
Natafuta printer yenye uwezo wa kuprint kwenye DVD/CD na DVD duplicator mashine . Kwa anayejua naweza pata wapi kwa bei nafuu au mwenye navyo hata kama vimetumika kidogo ila bei iwe nzuri .Tuwasiliane 0714890018