Best printer kwa gharama ya 300,000/=

epson ndoprinter nzuri kwa sasa, wino wake sio expensive na zinafanya kazi hyo na kwa budget yako nazani epson 3110 itakufaa na haitumui cartilage inatumia wino wa maji which is cheap na nazani ni 330000
Ahsante sana mkuu... Umenifungua macho, sasa najua ninwapi kwa kuanzia.
Je, utakua unafaham plan B? Yaan kama hii itakosekana alternative yake ni ipi?
 
Wakuu,

Nahitaji printer kwa budget hio hapo juu. Printer iwe na sifa zifuatazo:

-Mpya
-Uwezo wa kuprint, photocopy na kuscan
-Wino wake usiwe bei sana
-Maintenance yake iwe cheap

Wataalamu naombeni Mnisaidie katika hili, sina uzoefu wowote na mambo ya printer.

Natanguliza shukrani
Epson ni Printer nzuri sana na zina Quality kubwa safi.
Tatizo ni bei zake na Budget yako huwezi pata Printer za Epson,
Naona Wadau wanashauri upate Epson L3110 lakn sasa hivi hiyo imesimama kwa 480,000 hadi 460,000.
Ipo L382 ambayo ni 430,000 hadi 420,000.

Kwa Budget yako labda uchukue Printer za Kampuni ya CANON ambazo Unaweza kupata hadi za 250,000 hadi hiyo 300,000
 
printer mkuu zipo adi za 80000 na zimesimama hatari ila sasa wino wake 40000 unaisha pia haraka kwaiyo issue huwa ni wino tu
 
Inategemeana na kazi ya kwenda kufanya, but kwa mhusika kasema anahitaji ambayo upatikanaji wa wino na matengenezo ya Urahisi ndo maana mm nilimpendekezea CANON kwa sababu ya gharama na zinapiga kazi vizuri na wino na maintainance ni rahisi sanaaa.
 
Epson ni Printer nzuri sana na zina Quality kubwa safi.
Tatizo ni bei zake na Budget yako huwezi pata Printer za Epson,
Naona Wadau wanashauri upate Epson L3110 lakn sasa hivi hiyo imesimama kwa 480,000 hadi 460,000.
Ipo L382 ambayo ni 430,000 hadi 420,000.

Kwa Budget yako labda uchukue Printer za Kampuni ya CANON ambazo Unaweza kupata hadi za 250,000 hadi hiyo 300,000
Shukran sana mkuu kwa maelezo mazuri kama haya...
Naomba kuuliza, Kwa hizo printer za Epson kwa gharama hizo tajwa unapendekeza nichukue toleo lipi? Kama unafahamu
 
Bei inaanzia Shngap mkuu?

printer zipo za bei mbalimbali inategemea unataka kuprint nini, kama ni hizi white paper za kawaida au unataka kuprint proffesional vitu kama posters, karatasi za mterezo nk.

Labda bijue unataka kufanya nini ndio nikusaidie
 
Normal papers na Normal glossy papers
 
Back
Top Bottom