All truth23
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 1,217
- 1,397
SawaBila matukio hakuna Siasa na huo ndio ukweli mchungu
Ndio sababu Viongozi wengi wa Afrika huteua Mawaziri wa habari wenye akili za wastani Ili wawatumie kuficha habari na kupunguza matukio kwenye nchi zao
Nenda Marekani, Russia, North Korea, India, UK nk wote wanafanya Siasa za matukio
So tusiwaone Chadema kama wanayumbayumba bali huo ndy mfumo wa Siasa za Modern World
Zitto Kabwe hajihusishi na Siasa za Matukio ndio sababu ACT Wazalendo imekufa kabisa huko Tanganyika
Nawatakia Tuesday yenye baraka