Dunia inapambana kumfuta mwanaume

Choosen85

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
563
1,364
Wakuu mulibwanji?

Aisee nimetafakari sana jinsi ambavyo dunia ikishirikiana na mwanamke kummaliza mwanaume, kufuta nafasi ya mwanaume, kufuta haki zake ikibidi zinachukuliwa na kupewa mwanamke.

Ninakuhakikishia hata huyo mkeo uliyenaye hapo ni vile hajapata mtu mwingine tu anayekuzidi akipatikana basi atasepa na kama anaona kuna vimali tena vya jasho lako atafungua kesi na ninakuhakikshia atabeba na hizo mali zako kwani hata sheria hazimlindi sana mwanaume mbele ya mwanamke.

Dunia na mwanamke havina huruma juu yako mwanaume, kaa kwa umakini heshimu sana wanaume wenzako usiwatupe kisa mwanamke, wanawake hawa ndio wameongoza kuvunja uhusiano wa mwanaume na ndugu zake na wazazi wake. Familia nyingi zimesambaratika baada ya mwanamke kuja ndani ya familia hiyo, namaanisha baada ya ndugu wa kiume kuoa tu.

Anayebisha na abishe, wanawake wapo kimasilahi tu, wengi tunaishi nao sababu kuna maslahi yao tu, akipatikana mwingne mwenye maslahi zaidi anakuacha na mnagawana jasho lako.

Ukienda hata polisi mwanamke ataskilizwa zaidi kuliko mwanaume bila kujali mwanamke ndio kakosea, na ukikaa vibaya kibao unageuziwa unakula mvua, kama unabisha we bisha.

Wanaume tunatangulia kufa kwa mengi sana, mwanamke ukipata nae watoto kadri umri unavyosogea ndivyo mkeo anavyozidi kukutenga na watoto wako, utajikuta ndani ya nyumba umebaki peke yako, mama na watoto wako pamoja.

Kuna mzee alifariki kwa stress, watoto na mama wameungana mpaka wamemfungulia kesi kisa mali tu wanataka mgao mapema, ni hatari sana.

Simaanish msioe ila enendeni kwa akili sana si kwa hisia. Mungu ni mwema sana. Karibuni wale wa chai, mapovu, nk.

Maoni yenu tafadhari huu ni mtazamo tu.
 
Bora umeliona hili mapema, jisomee na hii,

 
mwanamke ni nguv ya shetani kwa sbb yeye ni mwanamke na inafosiwa wanaume kuwa na kariba ya kike ili kumpa nguv.
 
Kifupi ni kwamba kama mademu wataingia Kutafuta hela Wanaume tutakuwa hatuna kingine chaku offer.Think about it,wakitaka mkuyenge Kuna midoli,na dildo za Kila shepu you can't imagine,watoto wakitaka Wana weza nunua mbegu,Guess what Dunia ikibaki na Wanaume wawili uhai unaendelea.Uanaume wa kweli naona ni Kutafuta hela na kukaa chonjo mwanamke asizichukue baaasi.
 

Tatizo linaanza na sisi wanaume wenyewe. Shida kubwa ni wanaume wa sasa hasa vijana, mnahangaika sana kufikiria jinsi ya kumfurahisha mwanamke. Mnakaa na kujipoteza kwa kuwaza jinsi ya kucheza mbele ya mwanamke ili afurahi.

Mnakaa vijana wa kiume na kuteseka juu ya ni kitu gani anachofikiria mwanamke, huu ni udhaifu mkubwa.

Mwanamke ndio anapaswa kukaa na kufikiria ni jinsi gani atakufurahisha na kukufanya wewe uvutiwe na yeye. Leo hii mtoto wa kiume anaambiwa na binti atafute hela ili ampate na yeye anahaha kweli na presha juu juu kwamba akikosa hela atamkosa binti. Ni udhaifu!

Vijana wa kiume wadhaifu ndio mnajitahidi kuipiga mtama 'asili' na kuigeuza kichwa chini miguu juu.
 
Kifupi ni kwamba kama mademu wataingia Kutafuta hela Wanaume tutakuwa hatuna kingine chaku offer.Think about it,wakitaka mkuyenge Kuna midoli,na dildo za Kila shepu you can't imagine,watoto wakitaka Wana weza nunua mbegu,Guess what Dunia ikibaki na Wanaume wawili uhai unaendelea.Uanaume wa kweli naona ni Kutafuta hela na kukaa chonjo mwanamke asizichukue baaasi.
Mawazo ya kitoto
 
Napendekeza Hili Bandiko lako Liwe linapita kwenye yale Mabango ya vioo Pale Uwanja wa Mkapa kila mechi ikiwa inachezwa ili Huu Wosia Urithishwe vizazi hadi vizazi.

NDOA NI UDHALIMU wa Wazi kabsa ni vile tu Watu wameamua kujitoa Akili.
 
Back
Top Bottom