Dunia bila ya Ukiranja wa Marekani itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana

Hivi hapo juu umetoa hoja wewe? Elimu elimu elimu, mimi nimejibu statement yako, wewe unadai hoja? Najibuje oja kwenye Ngonjera?

Au hoja ni:

"Mwenye nguvu mpishe"?

Ngoja nijibu:

Sitaki mpisha, Hana nguvu.
Sasa kwani hoja maana yake ni Nini?

Unaposema hukubaliani nami si lazima kuwe na sababu? Au nyie wenye elimu huwa mnakataa mambo bila ya sababu??
 
Umeandika topic hii kwa hisia mno.
Jujaweka maelezo ya kisomi ku support topic yako hii.

Nipo na maswali machache tu.

1. Kwanini unasema itakuwa uwanja wa kuchinjana?

2. Kwa namna gani itakuwa uwanja wa kuchinjana?

3. Je, haya unayazungumza kutokana na unavyo amini au upo na analytical evidences?

4. Je ni lini dunia imewahi kuwa siyo uwanja wa kuchinjana?

5. Upo na elimu kidogo kuhusu dunia tangu utawala wa Mongols, Waajemi nk?

Naaomba uyajibu maswali haya.
 
Huu ndiyo ukweli hata kama ni mchungu.

Siku Urusi , au Uchina, au Iran mojawapo ikawa ndiyo inasimamia maslahi ya ulimwengu wetu huu, dunia itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana na mwenye nguvu mpishe apite.
Dunia chini ya Marekani sasa.this is the dumbest post I have ever seen.
images%20(3).jpg
 
Kwani Libya, Iraq, Syria, Vietnam na kwingineko USA na washirika wao walipozivamia na kujaribu kuwaondoa na kuwaua viongozi na raia wasio na hatia, walikuwa viranja wa dunia?

Kote USA na washirika wake walipopita wameacha maafa maakubwa, na hizo nchi hakuna amani wala utulivu tena.

Allen Kilewella huo ukiranja unaompamba nao USA ni huo wakumpa uhuru mke wako au kijana wako akaolewe na jinsi yake? Vipi siku mke wako akaomba talaka ili akaolewe na mwanamke mwenzake, utarudi hapo kumsifia?
 
ukiranja unaompamba nao USA ni huo wakumpa uhuru mke wako au kijana wako akaolewe na jinsi yake? Vipi siku mke wako akaomba talaka ili akaolewe na mwanamke mwenzake, utarudi hapo kumsifia?
Kwa nini huwa mnapenda kuonyesha kwamba kitu pekee kinachofanyika Marekani ni wanaume Kwa wanaume au wanawake Kwa wanawake kuoana?

Hivi Marekani hakuna kitu kingine kinachofanyika zaidi ya ushoga??
 
Umeandika topic hii kwa hisia mno.
Jujaweka maelezo ya kisomi ku support topic yako hii.
Hata wewe pia umeandika kwa hisia sana.

Sikuweka maelezo Kwa kuwa Kwa kufuatilia kinachoendelea kwenye medani za kimataifa inaonesha watu wasiotaka Marekani iwe kiranja wa dunia wanaonesha nia yao Hiyo hadharani.
1. Kwanini unasema itakuwa uwanja wa kuchinjana?
Kwa kuangalia hao wanaotamani wawe viranja Wa dunia wanavyoendesha nchi zao.
2. Kwa namna gani itakuwa uwanja wa kuchinjana?
Jibu namba Moja linatosheleza hapa.
3. Je, haya unayazungumza kutokana na unavyo amini au upo na analytical evidences.
Kuna ushahidi wa kutosha tu
4. Je ni lini dunia imewahi kuwa siyo uwanja wa kuchinjana?
Angalau Hitler pekee ndiye aliyetaka uwe uwanja wa kuchinjana. Haijawai Kwa milenia mbili Sasa.
5. Upo na elimu kidogo kuhusu dunia tangu utawala wa Mongols, Waajemi nk?
Yap. Hapa sizungumzii Vita.
 
Tangu Marekani iwe kiranja dunia imekuwa na amani, maendeleo, utangamano na mafanikio zaidi kuliko wakati wowote hii ni pamoja na madhaifu na matatizo yote ambayo Marekani inatuhumiwa nayo.
Kuanzia baada ya WWII hadi karne ya 21 ndicho kipindi dunia imezidi kuboreka zaidi kuliko karne nyingine zozote.
 
Back
Top Bottom