Dully sykes angaka kwanini anapigiwa ovyo na wanawake kila siku hasa wake za watu

Tehete Utajiri wa Mwafrika huo, wanawake wengiii na mawazo yetu ni kufikiria wanawake tuu yaani NGONO tena ZEMBE!
Ningemwona wa maana angesema kawekeza kule Tanga ana heka mia anafuga ng'ombe wa maziwa, so anasumbuliwa mno na MBUNG'O na NDOROBO. So hayo ndo maisha ya msanii wa BONGO tehe![/QU" .... WORD!
 
Nani kamwambia kuwa yeye ni handsome? wasanii wa bongo bwana..ndio maana kalapina alienda kutoa posa kwa mama yake Mr blue kwasababu ya kujishebedua kwa watoto wa kiume kama huyu jamaa...kalapina hajamuona handsome huyu?
 
ila Dully na misifa ile halafu nikamfumaniaga anapopiga mbavu Tabata baada yakutimuliwa yeye na mamake kwa bibi pale Ilala nilichoka na nikajiambia mwanangu akinambia anataka kuwa muuza sura bongo ntamfungulia genge la mkaa aisee...linalipa hasaaa!



Mh...!!!! Ulikuwa unatafuta nini anapopiga mbavu Dully..??
 
Kumbe ndio huyo? Mbona wa kawaida tu dada zetu bana mnapenda kushobokea hao wabana pua, mmekuwa kama wema wa copper aaaa samahani wema wa kanumba ,sorry wema wa h bb.malizieni wana jamvi maana kuna kamsuruu ka kutosha kwa waliombandua wema.
 
Huyu si ndiye anaejiita mr. misifa? hana lolote wala chochote anawachafua tuu wanawake...halafu eti source klaudi efuemu!!:smash:
 
Kawaida yake dully full kujifagilia kila siku....sishangai.....mtu mwnyw keshajiita mr. Misifa....aaaaagh!!!
 
Katika hali ya kushangaza
mh duly sykes ametangazwa anasumbuliwa sana sana na anajuta kwa nini amezaliwa handsome
kwa kuwa ajaamini kinachoendelea...duly sykes amesema amekuwa akisumbuliwa sana sana
kila mara hata leo amepigiwa na wanawake zaidi ya sita wakimtaka...lakini anasema anaomba jamani
ameacha ile michezo anaomba aheshimiwe uhuru wake n a hivi sasa ameamua kujiondoa kabisa
facebook ...m nashangaa sana sana wanawake wa sikuhizi bana kila mtu anaangalia handsome
hajui yukoje

kazi kweli kweli

clouds fm!
 
Back
Top Bottom