Duka linalipa kuliko kubeba abiria!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,322
33,128
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">
</td> <td width="606">

</td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
pix.gif
</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Mmiliki wa gari hili aina ya Toyota ‘Town Hiace’ aliona kazi ya kubeba abiria hailipi, bora gari lake aligeuze duka kama ilivyonaswa na kamera yetu mchana huu nje ya Soko Kuu la Kariakoo likiwa limesheheni rundo la bidhaa.​

</td></tr></tbody></table>
 
Nafikiri inategemeana na aina ya bidhaa!!

Advantage ya mobile shop is its flexibility, muuzaji anaweza kuhama toka sehemu moja kwenda nyingine kufuata mikusanyiko ya watu ambayo uendana na muda, mfano nyakati za asubuhi na mchana anaweza kupaki kariakoo, ikifika jioni anaweza kwenda kupaki ubungo au buguruni ama hata mwenge.

Pili, ana uwezo mkubwa wa kuinfluence kitu kinaitwa impulse buying, wabongo wengi hawana culture ya kuwa ama kufuata budget strictly.....so akipaki maeneo ya vituoni...anaweza kupata wateja ambao pengine alikuwa hawana hata mpango wa kununua bidhaa ya aina fulani kwa wakati huo.

Tatu, wabongo wengi wana imani kwamba aina hii ya uuzaji ni kama promo, kwa hivyo bei iko kidogo chini....so wengi watamiminika kununua.

Nne, kwa Kibongo bongo anauwezo mkubwa waa kukwepa kodi kuliko yule mfanyabiashara mwenye fixed premises.

Hizo ni baadhi ya faida, though zipo nyingi. Tuangalie na hasara zake za kuwa na mobile shops;

Moja kubwa ni kukosa mahala maalumu ambapo wateja wako wakiamua kukutafuta watakupata...so opportunities nyingi unaweza kuzikosa kwa wateja wa aina hii.

Pili, uaminifu kutoka kwa wateja juu yako unakuwa mdogo sana, watajiuliza...huyu mtu akiniuzia kitu famba ntamkuta wapi???

Taatu, Kibongo bongo financial institutions e.g. banks itakuwa ngumu sana kukupa mkopo, kwani kwao physical location of the business ni muhimu sana katika kuevaluate your creditworthness especially katika nchi zetu ambazo hatuna credit reference bureaus.

Ni hayo machache mkuu kwa haraka haraka....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom