Duh, eti 'No strings attached'??!!! Ya kweli haya!

he he, unaichie niende nazo wapi?

Mie nimekutana nazo mahali, ngastuka, ngashangaa, ngazileta hapa.

Dadavua basi na wewe.

hehehe mkuu mstaafu mimi bana wivu wangu hata nzi akimgusa waifu basi nahakikisha namuua achilia mbali dume linalolala likakoroma, sasa hizi string no attached nazani tumwachie kongosho.
 
Babu, vipo vitu vya kushare lakini si malovedave.
Yani mimi tukishavuliana nguo, means rope attached, hiyo string ndogo. Moyo wangu plastic.
Babu arudi wapi? Am all alone and am happy.

Hahahahahahahahahah.....wewe unataka kuvunja hivi vimbavu vya Babu!!

Wewe unafunga kamba kabisa kama ile inoyotumiwa na MV Victoria inapofika bandarini mwanza!!

Kazi kweli kweli...ngoja tuwasubiri wadau wengine watupe uzoefu wao wa kutofungana nyuzi...wanakutana na kutupa kila kitu kama kishungi cha sigara!!

Babu DC!!
 
he he, unaichie niende nazo wapi?

Mie nimekutana nazo mahali, ngastuka, ngashangaa, ngazileta hapa.

Dadavua basi na wewe.
Dah! Konnie aisee leo mimi kichwa haifanyi kazi kabisa yaani, paka kalala jikoni. lakini inshort hizo mambo ziko sana kwa mabazungu, kuna vijarida kabisa za hizo couples wanakuwa wanatafuta outsiders wa kustarehe nao na nakumbuka katika reasons zao wengine wanasema ina spice up relationship na kulast longer. Hii haitofautiani sana na ile open marriage, zote ni balaa tu
 
Ndo maana tukasema kuwa bila bangi bangi kichwani, hii kitu ni ngumu kuielewa na kuitumia!!

Babu DC!!
 
Hivi hao wa NSA huwa hawaambiane uongo wenu ule wa egoli egoli au Bongo movies???

Ohhhhhhhhh, mara I love you sooo much, more than a chorcolate......eti you are so sweet....wengine hadi wanawafool wenzao kwamba Mungu alimalizia kazi ya kuumba hapo hapo na kustaafu???????!!!!

Na bila hivyo, ina maana wanakuwa kama wako library wanakata kitabu?

Unajua nimeshindwa kabisa kuelewa!!

Babu DC!!

Kweli babu huwezi kuelewa. Hata mimi wa juz sielewi. Eti NSA lol!
Yaani mahaba yote tumalize, then kesho na mwengine, na mwengine tena.
Haikubaliki na siweezi. Napiga chini. Bora kuwa single tu.
 
Hiyo kitu haiwezi kuwepo kwenye NSA...Itakuwa ni kazi ya kutumiana tu...

Halafu nadhani jamaa wakikutana wanavaa masks kama Ninja......!!

Babu DC!!!
 
Ndo maana tukasema kuwa bila bangi bangi kichwani, hii kitu ni ngumu kuielewa na kuitumia!!

Babu DC!!
Mstaafu samtaim wala sio bange ni uchizi unaotokana na ma stress ya maisha tu au mijitu ishajaribu kila kitu na still inataka kuvumbua, ndio matokeo yake inavumbua mambo ya ajabu ajabu. Wengi tunawaona wazungu watakatifu lakini kama kuna viumbe wana mambo ya ajabu ajabu kuliko hao wavuta bange basi ni hawa wazungu. Wapo wapo tu
 
Hahahahahahahahahah.....wewe unataka kuvunja hivi vimbavu vya Babu!!

Wewe unafunga kamba kabisa kama ile inoyotumiwa na MV Victoria inapofika bandarini mwanza!!

Kazi kweli kweli...ngoja tuwasubiri wadau wengine watupe uzoefu wao wa kutofungana nyuzi...wanakutana na kutupa kila kitu kama kishungi cha sigara!!

Babu DC!!

Cheka unenepe babuee. Hakuna kuvunjika mbavu. Hayo ndo malimwengu ya kuyastaajabu.
Maisha ya kuiga haya yatatupeleka pabaya.
 
Hiyo kitu haiwezi kuwepo kwenye NSA...Itakuwa ni kazi ya kutumiana tu...

Halafu nadhani jamaa wakikutana wanavaa masks kama Ninja......!!

Babu DC!!!

Katika huko kutumiana si kuna kuduu babu? Sasa kesho nakuona na mtu, mawazo yale yatulivyodo walah roho lazima iniume.
Labda wapo kweli wanaoweza, but its very dirty game. Hata hzo mask haziwez kuficha aibu.
 
Wakinambia ni ufuska nitaelewa ila kusema kwamba watu makini wanaweza kufanya mapenzi/ngono kama mashine au toys sielewi kabisa!!

Babu DC!!
 
Mstaafu samtaim wala sio bange ni uchizi unaotokana na ma stress ya maisha tu au mijitu ishajaribu kila kitu na still inataka kuvumbua, ndio matokeo yake inavumbua mambo ya ajabu ajabu. Wengi tunawaona wazungu watakatifu lakini kama kuna viumbe wana mambo ya ajabu ajabu kuliko hao wavuta bange basi ni hawa wazungu. Wapo wapo tu

Mbona sasa wanajifanya wao ndio TBS ya kila mtu???

Babu DC!!!
 
duh, mfano nina 'no strings' mmoja.

Afu nikawa mahali na mtu mwingine.
Bahati mbaya akanikuta hiyo sehemu. Siku nikikutana naye in private ana haki ya kuniuliza kuwa niliyekuwa naye ni nani?
hawezi maana yeye haki yake ipo pale pale
 
Wakinambia ni ufuska nitaelewa ila kusema kwamba watu makini wanaweza kufanya mapenzi/ngono kama mashine au toys sielewi kabisa!!

Babu DC!!

Na km ni biashara yetu ile, yaweza wezekana. But kuweka hako kamchezo in DAILY ROUTINE OF maisha. Naungana na wewe kuelewa ni ngumu saana.
 
heeeee! kumbe hii sread bado inakimbia....
hapa watu walikuwa wanaelezea concept ya NSA na haikuwa nani anaweza kufanya na nani hawezi......amini usiamini hii kitu ipo na watu wengi wanaifanya tena sana....
labda simple kaswali wale wanaokuwa nyumba ndogo wanawezaje na wakijua nyumba kubwa ipo? au unawezaje kuwa wife wa 7 ?
au kwa wale wamasai wenye wake wengi hlf mgeni akifika anakupa mke mmoja ulale naye kule porini kwny maboma yao ,z tht also western culture?
wivu unategemea na ulivyoweka akili yako kwa huyo mtu na kwa jinsi ulivyoumbwa ,kulia na lelewa.....wivu z very relative term na how people handle it wanatofautiana sana.(am stand to be corrected)
 
Ndoa za mitala zina attachments na zinatambuliwa hata mbele ya sheria. Na hizo nyumba ndogo zinakuwa na makubaliano + commitments nyingi tu. Na katika mahusiano ya aina hiyo, wivu upo tena wa hali ya juu.

Mila za kuazimana wake na majirani au marafiki kwa siku moja (kwa Wamasai, Wanyankole wa Uganda, kabila la Mseveni), hapo nakubali kwamba mahusiano kama hayo ni dizaini ya NSA. Ila huwa wanarudia rudia?

Babu DC!!!
 
Wakirudia mara nyingi, jua kuna kitu kati yao
Na ushapigwa changa la macho hapo.

Back
Top Bottom