Duh, eti 'No strings attached'??!!! Ya kweli haya!

Hapa nakuunga mkono dear..... Karibu hapa kuna kijoto napata Amarula....lol Care to join?

Unahitaji majibu zaidi ya haya???

Hebu some vizuri kaka/dada...

It simply doesn't make sense in my old big head!!

Babu DC!!

Bwana hiyo ni ngumu sana,

Kama mtu anaweza kuua mwenzake kwa kitu alichookota barabarani, iweje kwa BF au GF ambaye wanasaula nguo na kubaki watupu mara kwa mara,..na kisha kubanjua amri ya sita?

Labda nianze kujifunza leo....Ila ukweli ni kwamba siwezi!!

Babu DC!!
 
Unahitaji majibu zaidi ya haya???

Mzee DC acha kuruka ruka... Hizo post ambazo umeji qoute umezungumzia wewe kua na mpenzi alafu iwe no strings attached kama vile na mama DC... Hapo nakuunga mkono haiwezekani! na hayo majibu ulio color ndio hasa majibu yake. Sasa jibu YES or NO kama unaweza mkubalia mdada saizi aku approach aombe muwe na mahusiano ya no strings attached.
 
mie nimejaribu castle light, sijui sijazizoea, naskiaje sijui.
Bora nikomee hizi hizi 3.

asante dear leo najipatia serengeti baridi ....nimejifunza huwenzi shindana na maisha ila jifunze kukubali kila linalokuja mbela ya macho yako na kusolve in a positive way!
 
asante dear leo najipatia serengeti baridi ....nimejifunza huwenzi shindana na maisha ila jifunze kukubali kila linalokuja mbela ya macho yako na kusolve in a positive way!

Kama waishi kwa misingi ya maneno yako haya.... Maisha yako ni murua sana Chauro.... Hongera sana dear... Best of Luck. Na mungu akuepushe kikombe cha No Strings attached. lol
 
naogopa kusema sana, kuna mahali kasema ataita wajukuu zake waje wanishughulikie, hasa MJ1

Hapo wewe umefanya vema kabisa... mana asije hata akaharibu cv kwa shem ODM... Ila sasa mimi hana pa kunikabia, si wajua tena...lol. Hivo hadi nifike hata kama kenda kulala naanza kumtext bila kujali mama DC yupo pembeni.... :lock1:
 
Watu wanaeleza maelezo sahihi sana humu kweli utandawazi umeleta na kufundisha watu mengi.

Ambitious hio painting yako uliibamba tu sehemu ama uliichukua sehemu rasmi na wamjua mchoraji?

@Kongosho sorry; niko kwenye zoezi sio off topic. lol
 
Mzee DC acha kuruka ruka... Hizo post ambazo umeji qoute umezungumzia wewe kua na mpenzi alafu iwe no strings attached kama vile na mama DC... Hapo nakuunga mkono haiwezekani! na hayo majibu ulio color ndio hasa majibu yake. Sasa jibu YES or NO kama unaweza mkubalia mdada saizi aku approach aombe muwe na mahusiano ya no strings attached.

Mbona nilishasema (kama ambavyo husema siku zote) kuwa haiwezekani (a.k.a, BIG NO) with or without strings??

Au jibu gani jingine tena ADi??

Babu DC!!
 
Ambitious hio painting yako uliibamba tu sehemu ama uliichukua sehemu rasmi na wamjua mchoraji?

@Kongosho sorry; niko kwenye zoezi sio off topic. lol

Kuna siku nilikuwa nazunguka mtandaoni nikaikuta sehemu ila kila nikijaribu ku-trace aliyechora hii kitu simpati nimeangalia NOVICA na art gallery kadhaa sijafanikiwa.
Sijui ni hawa Tingatinga wa Bongo?
 
tupe na wewe mauzoefu yako katika hii dhana.

No strings attached mnakuwa intimate na kushare mengi lakini mwisho wa siku hakuna kuulizana maswali ya unafanya nini baada ya hapa...Sex partners mnakutana kwa ajili ya ngono tu hakuna kushare chochote zaidi ya sex.
Sisi waafrika tunajaribu sana hii kitu ya 'no strings attached' lakini ni failure.
We have this thing ambayo inatuuma tunapoona wapenzi wetu wa zamani(hata kama hatukuwa nao deep kwenye mapenzi)wako na mtu mwingine lazima inatuuma.
Hatukawii kuzua varangati(watu wanapigana kisa machangudoa na wanaume gigolos).Nadhani morals zetu bado hazijawa corrupt kufikia kiwango cha kufanya mapenzi kama kuku.Wenzetu wa western civilization wamekumbwa na collapse or breakdown ya maadili tangu karne ya 20 na kurudi nyuma.
Hawajatupita kwenye mazuri tu hata mabaya wametutangulia mbele(Thank God).
 
Back
Top Bottom