Du!!! Mathematics noma, Msome huyu dogo alivyojibu swali la necta

master gland

Senior Member
Apr 3, 2012
198
60
Katika mtihani wa NECTA mwanafunzi alionekana kaachia kiti na meza na kuketi chini.Msimamizi wa mtihani akaenda na kumuuliza yule denti mbona hufanyi mtihani wako juu ya meza?
Kwa mshangao dogo akajibu Mwalimu hili swali tumeambiwa solve without using tables Hivyo nafuata taratibu za mtihani.
Mwalimu kusikia vile akashindwa kujizuia mbavu zake ni kicheko hadi akaharibu atmosphere ya darasa.
NAWASILISHA
 
sijui kwanini, lakini namuona denti jembe..watumie lugha ilokamilika banaaaa
 
Nkoamangasha sec school ( ero malimu inaleta sarau ya sisi kufanyia swali yake chini, lasima niipate swali yake hata kama imeamua tukae chini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom