DSTV bureee full maujanja mjini hapa

tukiwakamata muwe na million kumi as faini la sivyo waweza kuingia jela kwa miaka hadi mitano
Be careful and what you wish...
Kama wewe magnifico ni mtu ambaye tunakujua usijifanye hatukufaha,u au nianze kutaja marafiki zako ndio ujue kuwa tunakujua..?? Be careful

Mkuu hiyo ni kila sehem ipo,mimi nipo sehem flani hapa Middle east na sisi tunatumia Al-jazeera sport kimagumashi tu,kwanza tulikuwa tunalipia sasa tunakula kitu live AL-jazeera na Abu dhabi Sport bureeee,wakibadili masafa jamaa wanajua tu,tuna update softwera tu kitu inashuka bureeee!!!!
 
Maujanja kama haya yote yanapatkana online, na sidhani kama yameanzia bongo, kuna blogs na forums wamejaa wachakachuzi wanapeana ujanja, kuna loopholes zipo nyingi sana kaka, na kwa vile hawa jamaa wameajiri wataalam pia ni lazima wagundue tu. btw kwani wewe hiyo loophole ungependa kuitumia milele? hahahaa. Pamoja kaka.:cool2:
hapana kamanda.... ni ile tu promo lakini yote kheri...
 
wakuu wote wa tanzania kipato cha chini. hivyo kizuri kula na wwenzako
kwa wale wapenzi wa DSTV instead of kulipia 120 kwa mwezi na bla bla ahhahaha watu wameoibua chimbo.
anayetaka huduma ya dstv na mautundu ani pm
samahani siwezi weka mautundu hadharani wakuuu

Mkuu ni email basi email yangu saidmwahu@yahoo.com siwez kuku pm na2mia sim
 
Maujanja kama haya yote yanapatkana online, na sidhani kama yameanzia bongo, kuna blogs na forums wamejaa wachakachuzi wanapeana ujanja, kuna loopholes zipo nyingi sana kaka, na kwa vile hawa jamaa wameajiri wataalam pia ni lazima wagundue tu. btw kwani wewe hiyo loophole ungependa kuitumia milele? hahahaa. Pamoja kaka.:cool2:

Tunahitaji hayo maujanja mkuu, makaburu wanatuibia pesa zetu sana walau tufaidi kabla hawajashituka
 
wakuu wote wa tanzania kipato cha chini. hivyo kizuri kula na wwenzako
kwa wale wapenzi wa DSTV instead of kulipia 120 kwa mwezi na bla bla ahhahaha watu wameoibua chimbo.
anayetaka huduma ya dstv na mautundu ani pm
samahani siwezi weka mautundu hadharani wakuuu
Ni PM plse. Natanguliza shukrani
 
Watu wengine wana boa kweli kweli, sasa hao watakao-ku-pm si ndio hao hao usiotaka wakusome hadharani?
 
Hawa jamaa wanalamba ela yangu mwaka wa kumi sasa kama kuna ahueni kama iyo kuna haja ya kujaribu!
ILa Kenya nasikia wako cheap kuliko bongo sijui Tz wameona shamba la bibi!
 
wakuu wote wa tanzania kipato cha chini. hivyo kizuri kula na wwenzako
kwa wale wapenzi wa DSTV instead of kulipia 120 kwa mwezi na bla bla ahhahaha watu wameoibua chimbo.
anayetaka huduma ya dstv na mautundu ani pm
samahani siwezi weka mautundu hadharani wakuuu
Nahitaji please ila sijui ku-PM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom