Drive

Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,944
1,431
Habari wapendwa.Na hope wote mpo fresh kama kawaida,So nilikuwa na swali kana nitaweza kupata majibu naomba mnisaidie please nina laptop yangu aina ya COMPAQ nataka nichange window kutoka vista kuja XP je sasa nikichange naweza kupata drive za kuinstall kama ya AUDIO,VIDEO na kadhalika??,Na pia sometime nikiwa home huwa napenda kutumia kwa kutumia cable je naweza kupata drive ambayo nitainstall na ikafanya kazi kwa kutumia hiyo cable niliyosema??Ok nadhani nitapata majibu.

Thanks!!
 
Back
Top Bottom