Dr. Ulimboka yupo mafichoni, kuzungumza wakati wowote!

Siku 40 je wakikuulimboka tena? Mwenzio mwakyembe alibakisha ukurasa mmoja wa report ya EL yakamkuta yaliyo mkuta na wewe unarudia makosa Yale Yale? Ungesema yote pale airport kabla hujaenda home unapotoa 40 days unajijengea mazingira ya kununulika au? Ngoja tuone Kama hujawa bubu fasta au useme ulinukuliwa vibaya chapaa ni soo we will see
 
Tuna uhakika gani kama huyo aliyekuwa anaongea nae hapo anahusiana na wale waliomteka?

Ikatokea bahati nzuri upo zako Rose Garden ukamwita swahiba wako ambaye mnakutana mara kwa mara sehemu hiyo aje aku join ghafla wakaja watu usiowafahamu wakamteka hii scenario ni impossible?

Mtu aliyekuwa akiongea naye hapo leaders namba simu yake inaushahidi mkubwa tu kwamba alihusika. Mfano hata kuwasiliana na Mwenyekiti wa Mabwepande tafakari Rama afisa toka Ikulu kuwasiliana na Mwenyekiti wa Mabwepande
 
Back
Top Bottom