Dr. Ulimboka is safe and stable

Mungu wetu aliye hai ni Mwema.Madaktari WANAMTIBU Uli Lakini Mungu wetu ATAMPONYA, kwako hakuna linaloshindikana.
 
kwa hiyo mtasa alituongopea? Najua vyombo vya habari vya wenzetu vina sheria kali sana asije akapigwa ban kama alivyofanywa yule Jeff Koinange aliyekuwa CNN bureau chief wa west africa.

Yule nasikia alikula rushwa!

Jamaa angefika mbali sana yule amejiharibia maisha yake.
 
Watanzania wengi tunamuombea apone haraka iwezekanavyo ili aje kutoa ukweli.... Nadhani kitanuka tu endapo atawataja wote waliohusika
 
Yule nasikia alikula rushwa!

Jamaa angefika mbali sana yule amejiharibia maisha yake.

Sasa hivi si unamuona anawahoji viongozi na wanasiasa akiwa amekalia bench! Jamaa alikuwa akiiwakilisha vizuri sana Kenya au tuseme East Africa lakini akakumbana na Rushwa za wa Nigeria huko Delta.
 
E MWENYEZI MUNGU mlinde na mponye majeraaha huyo kijana Ulimboka.. Mkono wako umkinge na hatari yyt. Waumbue wale wote waliotaka kuondoa uhai wake bila ridhaa yako. Utulinde sisi Watz maana tulipofika twakuitaji kuliko wakati waote
 
Tuendelee kumuombea dk, ukitafakari mateso aliyoteswa waweza kububujikwa na machozi usiku kucha, yakaribiana na mateso ya bwana wetu Yesu Kristu pale alipibebeshwa msalaba na kuambatanishwa na nao na misumali na kuanza kupigwa mijereji huku akitobolewa mbavuni. yalifanyika ili sisi tupone, hali kadhalika kwa dk.
God is Good All Times. Thanks Jesus Of Nazareth.
 
Tuendelee kumuombea dk, ukitafakari mateso aliyoteswa waweza kububujikwa na machozi usiku kucha, yakaribiana na mateso ya bwana wetu Yesu Kristu pale alipibebeshwa msalaba na kuambatanishwa na nao na misumali na kuanza kupigwa mijereji huku akitobolewa mbavuni. yalifanyika ili sisi tupone, hali kadhalika kwa dk.
Nami naungana watanzania wote kumuombea Dr Ulimboka apone hayo majeraha aliyopata toka kwa watu dhalili, wakati huo huo naona Makamu wa Raisi wa SA amewasili Dar sasa sijui hili suala limewaishtua viongozi wa huko au ni ziara iliyokuwa imepangwa kabla.
 
Tuendelezeni funga, sala na maombi mapa pale haki itakapopata ushindi

wazo la kigwangala la ahli badir siyo baya kiasi hicho, tulichukue bana
 
haya sasa kamanda ulimboka anarudi baada ya kuzushiwa kifo mara kadhaa
 
nimekubali kwamba jamaa bado yuko fit baada ya kusikia sauti yake.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Back
Top Bottom