Dr. Ulimboka is safe and stable

afadhali,nilisitisha kabisa kuingia jf leo baada ya ile habari asubuh!asante yesu
 
Tumeanza na Mungu,tutamaliza na Mungu! Pona mapema Mpiganaji,Daktari Stephen Ulimboka!
 
thanx GOD Daktari yupo alive, Arudi aje awaumbue wazee wa mabwepande mmoja hadi mwingine
 
These are painful news for whoever engineered the failed assassination,
They had a moment of relief this moment, only brief.
Ulimboka is vibrantly coming back!
expose!
 
Naamini kila mwanadamu ataonja mauti ila naomba Mungu amponye huyu jamaa kwani ikitokea akamchukua watu wengi sana wataumia
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom