Mkuu tupac umenena yaliyo sahihi.Jina la Ulimboka litabaki kwenye historia ya nchi hiiAsante kamanda Isack kwa kutuhabarisha kupitia picha safi sana na asante mungu, majaribu ya mungu ni mengi hata yesu aliuawa wakati alikuja kuwakomboa wanadamu
Atapona tu! wameumbuka
Nimesikia kuwa kesho itabidi afanyiwe operation ya taya, ambalo limeharibiwa vibaya ! Nilichopenda ni kuwa ma Dr. wamechachamaa na wanafanya ulinzi wao wenyewe, na hata askari waliotaka kuingia ndani ya chumba leo wakati Dhaifu anakaribia kwenda wametolewa benzi, huyu wamesema watamlinda wenyewe na hawataki hawa "wajambazi" walete sumu zao wala kumkaribia !
Safi sana hii na kaza buti wasomi nyie mpaka kieleweke !! Vasko Da Gama safari hii lazima atolewe nishai na wajaza mabakuli !
Kesho anafanyiwa operation na nani?kwani si bado wamegoma?kama wamerudi kazini na mimi mgonjwa wangu niliyemrudisha nyumbani nimpeleke kesho akafanyiwe operation.
Huko ikulu usalama watakuwa wanatoana roho wenyewe kwa kushindwa kutekeleza kazi